ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Hiyo dili,watu wanatafuta gesi!Wana jf niokoeni mwenzenu tumbo linajaa sana gesi hadi muhimbili nimefika lakini wapi!IMEFIKIA HATUA KILA CHAKULA NIKILA TATIZO LINAANZA,TUMBO LINAJAA HALAFU LINAUNGURUMA NA KUNINYONGA.NIOKOENI PLEASE!
Wana jf niokoeni mwenzenu tumbo linajaa sana gesi hadi muhimbili nimefika lakini wapi!IMEFIKIA HATUA KILA CHAKULA NIKILA TATIZO LINAANZA,TUMBO LINAJAA HALAFU LINAUNGURUMA NA KUNINYONGA.NIOKOENI PLEASE!