Msaada jamani vyakula vya kutumia kupunguza gesi tumboni

Msaada jamani vyakula vya kutumia kupunguza gesi tumboni

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Wana jf niokoeni mwenzenu tumbo linajaa sana gesi hadi muhimbili nimefika lakini wapi!imefikia hatua kila chakula nikila tatizo linaanza,tumbo linajaa halafu linaunguruma na kuninyonga.
Niokoeni please!
 
Wana jf niokoeni mwenzenu tumbo linajaa sana gesi hadi muhimbili nimefika lakini wapi!IMEFIKIA HATUA KILA CHAKULA NIKILA TATIZO LINAANZA,TUMBO LINAJAA HALAFU LINAUNGURUMA NA KUNINYONGA.NIOKOENI PLEASE!
Hiyo dili,watu wanatafuta gesi!
 
asubuh kunywa maji glass 3, pia pendelea zaid kula tikiti maji kokwa zake mpaka maganda yke
 
Matatizo kama hayo wengi wenu huwa mnabana sana ushuzi. We jamba mara nyingi kadri uwezavyo acha kulea matatizo.
 
Wana jf niokoeni mwenzenu tumbo linajaa sana gesi hadi muhimbili nimefika lakini wapi!IMEFIKIA HATUA KILA CHAKULA NIKILA TATIZO LINAANZA,TUMBO LINAJAA HALAFU LINAUNGURUMA NA KUNINYONGA.NIOKOENI PLEASE!

Hilo tatizo ni kama langu,ila mimi natumiaga Magnessium na tumbo linakuwa linatuliaga,au chukuaga ndimu uile wakati wa kulala
 
Mimi nimetumia maziwa fresh. Mchana vikombe viwili na jioni viwili. Hakikisha yanachemshwa vizuri. Kunywa kwa mwezi mzima na utaona matokeo. Hakikisha kwa muda huo unaepukana na maharage na vitu vichachu.
 
Sasa ukiwa unagesi inasumbua tunashauriwa kuaanza kunywa maji kabla ya chakula na hakikisha kwa siku unanywa maji lita tano sawa muheshimiwa unipe report halafu
 
Na kingine muhimu sana kila baada ya masaa mawili ule kitu na kabla hujala unatanguliza hayo maji naomba fanya hivyo kwa uwezo wake mola ikawa dawa pia na kwako asante na pole kwa kuanza na jokes
 
Aloe vera gel ni kiboko ya hilo tatizo
 
Back
Top Bottom