Kwaio kumbe niendelee kuvuta subiraUPT kinasoma kuanzia wiki 2 au siku 14 na kuendelea toka kuhonjomborana
Bado hajafika tarehe ambayo huwa anapatakwani siku zake za hedhi zinaendelea kama kawaida?
Unachouliza babu pigia mstariKwaio kumbe niendelee kuvuta subira
Malizia vizuri mkuu umesema kuwa alikua na lengo, so baada ya kuwa na lengo hujamalizia nini kilifata maana mimba inahitaji kazi ifanyike na sio tu malengo.Nina mke wangu sasa ni wiki moja toka awe kwenye siku zake za hatari na alikua ana lengo la kupata ujauzito lakini Leo ni wiki moja na siku tatu tumepima kwa UPT lakini haijaonesha kua mjamzito, je nini tatizo gani?
UPT kinasoma kuanzia wiki 2 au siku 14 na kuendelea toka kuhonjomborana
wewe twanga na kupepeta tu kila siku mradi mkeo huyo mimba ni kama pembe la ngo'mbe halifichiki.Nina mke wangu sasa ni wiki moja toka awe kwenye siku zake za hatari na alikua ana lengo la kupata ujauzito lakini Leo ni wiki moja na siku tatu tumepima kwa UPT lakini haijaonesha kua mjamzito, je nini tatizo gani?