Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah eti zakusikiliziaSubilia hata bada ya mwezi ndio mpime tena halaf mimba za kusikilizia hivyo anaweza hata asipate
Nazi ilifanyika mkuu kwa iyo week alokua danger kwaio hapa tunasubir maana mdau mmoja kashauri nipime baada ya wiki mbiliMalizia vizuri mkuu umesema kuwa alikua na lengo, so baada ya kuwa na lengo hujamalizia nini kilifata maana mimba inahitaji kazi ifanyike na sio tu malengo.