Msaada jamani

Msaada jamani

Subilia hata bada ya mwezi ndio mpime tena halaf mimba za kusikilizia hivyo anaweza hata asipate
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah eti zakusikilizia
 
Malizia vizuri mkuu umesema kuwa alikua na lengo, so baada ya kuwa na lengo hujamalizia nini kilifata maana mimba inahitaji kazi ifanyike na sio tu malengo.
Nazi ilifanyika mkuu kwa iyo week alokua danger kwaio hapa tunasubir maana mdau mmoja kashauri nipime baada ya wiki mbili
 
Back
Top Bottom