Msaada jamani

Msaada jamani

Chimunu

Senior Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
159
Reaction score
25
Nina mke wangu sasa ni wiki moja toka awe kwenye siku zake za hatari na alikua ana lengo la kupata ujauzito lakini Leo ni wiki moja na siku tatu tumepima kwa UPT lakini haijaonesha kua mjamzito, je nini tatizo gani?
 
kwani siku zake za hedhi zinaendelea kama kawaida?
 
Pima baada ya wiki 2, tarehe za hedhi inayofata zikipita
 
Nina mke wangu sasa ni wiki moja toka awe kwenye siku zake za hatari na alikua ana lengo la kupata ujauzito lakini Leo ni wiki moja na siku tatu tumepima kwa UPT lakini haijaonesha kua mjamzito, je nini tatizo gani?
Malizia vizuri mkuu umesema kuwa alikua na lengo, so baada ya kuwa na lengo hujamalizia nini kilifata maana mimba inahitaji kazi ifanyike na sio tu malengo.
 
Subilia hata bada ya mwezi ndio mpime tena halaf mimba za kusikilizia hivyo anaweza hata asipate
 
Vuta subra mkuu, unaulizia kana kwamba una uhakika iliingia! Au hamuishi pamoja huwezi mpa tena
 
Muda bado kunawengine mimba inaanza kuonekana baada ya 2weeks
 
Upt sio kipimo cha mimba za wiki moja subir mwez mmoja kam ipo ipo[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Nina mke wangu sasa ni wiki moja toka awe kwenye siku zake za hatari na alikua ana lengo la kupata ujauzito lakini Leo ni wiki moja na siku tatu tumepima kwa UPT lakini haijaonesha kua mjamzito, je nini tatizo gani?
wewe twanga na kupepeta tu kila siku mradi mkeo huyo mimba ni kama pembe la ngo'mbe halifichiki.
 
Back
Top Bottom