No Escape JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 6,663 Reaction score 7,785 Jul 30, 2017 #21 Mi sijaelewa aisee!
BIN NUN JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 3,477 Reaction score 7,085 Jul 30, 2017 #22 Shunie said: Subilia hata bada ya mwezi ndio mpime tena halaf mimba za kusikilizia hivyo anaweza hata asipate Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah eti zakusikilizia
Shunie said: Subilia hata bada ya mwezi ndio mpime tena halaf mimba za kusikilizia hivyo anaweza hata asipate Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah eti zakusikilizia
halloperidon JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 2,096 Reaction score 5,254 Jul 30, 2017 #23 Siyo kila ukifanya siku za hatari unapata mimba Mara nyingi mimba huingia pasipo kutarajia Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kila ukifanya siku za hatari unapata mimba Mara nyingi mimba huingia pasipo kutarajia Sent using Jamii Forums mobile app
C Chimunu Senior Member Joined Mar 4, 2013 Posts 159 Reaction score 25 Jul 30, 2017 Thread starter #24 mkanyikivega said: Malizia vizuri mkuu umesema kuwa alikua na lengo, so baada ya kuwa na lengo hujamalizia nini kilifata maana mimba inahitaji kazi ifanyike na sio tu malengo. Click to expand... Nazi ilifanyika mkuu kwa iyo week alokua danger kwaio hapa tunasubir maana mdau mmoja kashauri nipime baada ya wiki mbili
mkanyikivega said: Malizia vizuri mkuu umesema kuwa alikua na lengo, so baada ya kuwa na lengo hujamalizia nini kilifata maana mimba inahitaji kazi ifanyike na sio tu malengo. Click to expand... Nazi ilifanyika mkuu kwa iyo week alokua danger kwaio hapa tunasubir maana mdau mmoja kashauri nipime baada ya wiki mbili