Msaada: Je ni kisubiri mpaka kesho ili nimpeleke hospitali mtoto kutakuwa na madhara zaidi?

Wasio wasomi wataolewa na nani sasa?
 
Hahaha hapana Mkuu,ilikua ni uzembe tu juu ya hilo, na wala haihusian na kiwango chake cha elimu,
 
It's not that fatal...the baby is gonna be ok.

Ila mke aacha uzembe.
 
Povu.

Yaani nimuoe msomi kisa kusoma kiingereza ktk dawa???

Hii ni kazi ya farmasia,anatakiwa ashitakiwe kwa kutotimiza majukumu yake.
 
Povu.

Yaani nimuoe msomi kisa kusoma kiingereza ktk dawa???

Hii ni kazi ya farmasia,anatakiwa ashitakiwe kwa kutotimiza majukumu yake.
Wisely Mkuu,yaan umegusa point kubwa sana
 
Povu.

Yaani nimuoe msomi kisa kusoma kiingereza ktk dawa???

Hii ni kazi ya farmasia,anatakiwa ashitakiwe kwa kutotimiza majukumu yake.
Subiri utakapowakuta watoto wamekaushwa na dawa kama panya aliyefika chini ya godoro alafu uje ufungue Thread ya kuuliza ufanyeje
 
YOTE HIYO SABABU YA KYOA VITOTO AMBAVYO HAVIJA KOMAA KIAKILI.!
 
Hii inanihusu nini mimi? Kwani mimi ndio nimekutwa na huo mkasa? Wewe mke wangu unamjua kama ni msomi au hapana!? Jiheshimu tafadhali.
 
Iwe isiwe siwezi kuoa mke msomi kwa sababu ya usalama wangu na familia,nimeona kwa jilani hapa kaoa dada mwanasheria yani ni tabu tupu,yani hata akimuuliza kwanini umechelewesha chakula ,mke anatamani kuingia kwenye vifungu vya sheria.
 
Ujinga mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…