Msaada: Je ni kisubiri mpaka kesho ili nimpeleke hospitali mtoto kutakuwa na madhara zaidi?

Mkiambiwa muoe wanawake wasomi mnajitia vichwa ngumu mnataka wa kuwasujudia baada ya kuwapa kula alafu hapa jukwaani mnasingizia bahati mbaya, bahati mbaya gani hiyo kama si ukosefu wa umakini na uwezo wa kufikiri? Ipo siku wewe utasafiri mkeo kwa sababu ya uzwazwa wake atamnywesha mtoto dawa iliyo expire au ilisiyotakiwa kunywa hapo ndio utakuja kujua kama ujinga ni mzigo na unaweza kusababisha kifo
Wasio wasomi wataolewa na nani sasa?
 
Mkiambiwa muoe wanawake wasomi mnajitia vichwa ngumu kutaka wa kuwasujudia, alafu mnasingizia bahati mbaya, bahati mbaya gani hiyo kama si ukosefu wa umakini? Ipo siku wewe utasafiri mkeo kwa sababu ya uzwazwa wake atamnywesha mtoto dawa iliyo expire au ilisiyotakiwa kunywa hapo ndio utakuja kujua kama ujinga mzigo na unaweza kusababisha kifo
Hahaha hapana Mkuu,ilikua ni uzembe tu juu ya hilo, na wala haihusian na kiwango chake cha elimu,
 
It's not that fatal...the baby is gonna be ok.

Ila mke aacha uzembe.
 
Mkiambiwa muoe wanawake wasomi mnajitia vichwa ngumu mnataka wa kuwasujudia baada ya kuwapa kula alafu hapa jukwaani mnasingizia bahati mbaya, bahati mbaya gani hiyo kama si ukosefu wa umakini na uwezo wa kufikiri? Ipo siku wewe utasafiri mkeo kwa sababu ya uzwazwa wake atamnywesha mtoto dawa iliyo expire au ilisiyotakiwa kunywa hapo ndio utakuja kujua kama ujinga ni mzigo na unaweza kusababisha kifo
Povu.

Yaani nimuoe msomi kisa kusoma kiingereza ktk dawa???

Hii ni kazi ya farmasia,anatakiwa ashitakiwe kwa kutotimiza majukumu yake.
 
Wisely Mkuu,yaan umegusa point kubwa sana
 
Povu.

Yaani nimuoe msomi kisa kusoma kiingereza ktk dawa???

Hii ni kazi ya farmasia,anatakiwa ashitakiwe kwa kutotimiza majukumu yake.
Subiri utakapowakuta watoto wamekaushwa na dawa kama panya aliyefika chini ya godoro alafu uje ufungue Thread ya kuuliza ufanyeje
 
YOTE HIYO SABABU YA KYOA VITOTO AMBAVYO HAVIJA KOMAA KIAKILI.!
 
Mkiambiwa muoe wanawake wasomi mnajitia vichwa ngumu kutaka wa kuwasujudia, alafu mnasingizia bahati mbaya, bahati mbaya gani hiyo kama si ukosefu wa umakini? Ipo siku wewe utasafiri mkeo kwa sababu ya uzwazwa wake atamnywesha mtoto dawa iliyo expire au ilisiyotakiwa kunywa hapo ndio utakuja kujua kama ujinga mzigo na unaweza kusababisha kifo
Hii inanihusu nini mimi? Kwani mimi ndio nimekutwa na huo mkasa? Wewe mke wangu unamjua kama ni msomi au hapana!? Jiheshimu tafadhali.
 
Mkiambiwa muoe wanawake wasomi mnajitia vichwa ngumu mnataka wa kuwasujudia baada ya kuwapa kula alafu hapa jukwaani mnasingizia bahati mbaya, bahati mbaya gani hiyo kama si ukosefu wa umakini na uwezo wa kufikiri? Ipo siku wewe utasafiri mkeo kwa sababu ya uzwazwa wake atamnywesha mtoto dawa iliyo expire au ilisiyotakiwa kunywa hapo ndio utakuja kujua kama ujinga ni mzigo na unaweza kusababisha kifo
Iwe isiwe siwezi kuoa mke msomi kwa sababu ya usalama wangu na familia,nimeona kwa jilani hapa kaoa dada mwanasheria yani ni tabu tupu,yani hata akimuuliza kwanini umechelewesha chakula ,mke anatamani kuingia kwenye vifungu vya sheria.
 
Ujinga mzigo
 
Back
Top Bottom