mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Wasio wasomi wataolewa na nani sasa?Mkiambiwa muoe wanawake wasomi mnajitia vichwa ngumu mnataka wa kuwasujudia baada ya kuwapa kula alafu hapa jukwaani mnasingizia bahati mbaya, bahati mbaya gani hiyo kama si ukosefu wa umakini na uwezo wa kufikiri? Ipo siku wewe utasafiri mkeo kwa sababu ya uzwazwa wake atamnywesha mtoto dawa iliyo expire au ilisiyotakiwa kunywa hapo ndio utakuja kujua kama ujinga ni mzigo na unaweza kusababisha kifo