Natania
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 262
- 217
Wakuu,
Msaada wa mawazo tafadhali. Ninampango wa kusajili kampuni BRELA ila nimepata kigugumizi kwenye jina litakalo-reflect biashara nyingi zinazofanywa na kampuni yangu (mfano: mradi wa shule, consultancy services in education, energy (gas and solar). Hivi naweza kutumia noun gani ya kiingereza itakayo-akisi hayo yote? Naona nikiita 'mwakamzuri consuting co. ltd' basi nitakuwa nimefocus kwenye consulting na kuacha energy na shule. Nikiita "mwakamzuri co.ltd'' jina linakuwa halija-akisi kampuni inafanya nini. Nikitumia neno foundation yaani "mwakamzuri foundation" bado napata ukakasi. kwa wataalamu wa business naming and branding tafadhali msaada wenu.
Shukrani