Habar qanaforum mimi apa nawazo la kuanzisha ofisi ya kupokea na kaagiza mizigo kutoka dar kwenda mikoni au kutoka mikoani kwenda sehem ingine kwa kutumia usafir wa mabasi lakin sijui vipi nitawafikia wamiliki wa mabasi ili nikubaliane nao. Hii nataka ni tengeneze uaminifu na urahisi kati ya wafanyabiashara wateja wao latika mikoa mbalimbali