Fuata Hizi hatua
Pakua hii app inaitwa tracker-free
Hapa kwa kutumia simu ya unayetaka kupata taarifa zake halaf instal hiyo app kwenye simu yake
Baada ya istallation fungua hiyo app kisha fungua account kwa kuingiza jina la muhusika au jina la simu anayotumia, Email pamoja na Pass (nywila)
Baada ya kukamilisha hayo bofya kitufe cha hide icon na kuchagua kile unachokitaka ukipate mf, sms,call,whatsapp,emaill etc.
Baada ya hapo mrudishie muhusika simu yake.
Ingia tena Hii website kutumia simu yako au Pc nakushauri utumie Pc ni nzuri zaidi
https://tracker-free.com Kisha Log in kwa kutumia Email na Nywila ulizotumia kwenye simu ya Muhusika kisha ita Conect yenyewe na hiyo simu,,..... Baada ya hapo utaona kila kitu kupitia hiyo acc yako...
Unaweza kufanya hivi vitu kupitia acc yako
==> Kulock simu ya muhusika na kui unlock
==> Kupiga alarm
===> Kuitumia Ujumbe
===> Ku lock apps / website zilizoko kwenye hiyo simu
na mengine mengi.......
Pia ikumbukwe kuwa unaweza itumia hata kwa kuilinda simu yako mwenyewe na kukusaidia ikiibiwa kuipata kirahisi au kuzuia kuvuja kwa vitu vilivyopo kwenye simu yako.
NB: Nikosa ku Hack au kuchunguza vitu ndani ya simu ya mtu bila idhini yake.....