Msaada: Jinsi ya ku hack simu ya mkononi

Msaada: Jinsi ya ku hack simu ya mkononi

Nipe namba yako nikuelekeze, kuna application safi sana, ukiwa nayo hiyo na kama una mpenzi wako anatumia smartphone simu yake unaifanyia kitu cha kujijengea heshima sana. Msg calling na references zote zinaenda sehemu kujstore na wewe unazifata kwa email tu unazipata zote. Ni mzuri hata kama simu itaibiwa unaweza kufanya na ukajua wapi ilipo. Its free app
Hii ni manyoya tu utakufa watu washapiga wewe ndio baadae unashtukia ma SMS yako.

Kuingilia privacy ya mwezi wako itakua shida mno maana SMS na calls baadhi utashindwa kuzielewa.
 
Mkuu utakufa kwa presha au unaweza usitamani wanawake tena kwasababu ya mambo utakayoyakuta huko
 
Me naweza ila mpaka nijua unataka kufanya hivyo kwa lengo gani? karibu Pm tuelezane ukweli nikiona una maelezo ya msingi nitakuelekeza cha kufanya.
Kuna mtu namdai ka hela kangu ka miaka kweli Sasa akapita kwa rafiki yangu akisema mjuz fulani(Mimi) kwamba nilipoteza namba yake naomba anitafte,,Sasa jamaa aliepewa taarifa kagoma kunipa namba na kagoma pia kumpa nba mhusika nikawa na wazo nimhaki nichukue hiyo namba nijipatie ka haki kangu

Naombeni usaidiz
 
Nipe namba yako nikuelekeze, kuna application safi sana, ukiwa nayo hiyo na kama una mpenzi wako anatumia smartphone simu yake unaifanyia kitu cha kujijengea heshima sana. Msg calling na references zote zinaenda sehemu kujstore na wewe unazifata kwa email tu unazipata zote. Ni mzuri hata kama simu itaibiwa unaweza kufanya na ukajua wapi ilipo. Its free app
0620202409
 
Back
Top Bottom