Kamawewe
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 533
- 521
Fuata Hizi hatua
Pakua hii app inaitwa tracker-free Hapa kwa kutumia simu ya unayetaka kupata taarifa zake halaf instal hiyo app kwenye simu yake
Baada ya istallation fungua hiyo app kisha fungua account kwa kuingiza jina la muhusika au jina la simu anayotumia, Email pamoja na Pass (nywila)
Baada ya kukamilisha hayo bofya kitufe cha hide icon na kuchagua kile unachokitaka ukipate mf, sms,call,whatsapp,emaill etc.
Baada ya hapo mrudishie muhusika simu yake.
Ingia tena Hii website kutumia simu yako au Pc nakushauri utumie Pc ni nzuri zaidi https://tracker-free.com Kisha Log in kwa kutumia Email na Nywila ulizotumia kwenye simu ya Muhusika kisha ita Conect yenyewe na hiyo simu,,..... Baada ya hapo utaona kila kitu kupitia hiyo acc yako...
Unaweza kufanya hivi vitu kupitia acc yako
==> Kulock simu ya muhusika na kui unlock
==> Kupiga alarm
===> Kuitumia Ujumbe
===> Ku lock apps / website zilizoko kwenye hiyo simu
na mengine mengi.......
Pia ikumbukwe kuwa unaweza itumia hata kwa kuilinda simu yako mwenyewe na kukusaidia ikiibiwa kuipata kirahisi au kuzuia kuvuja kwa vitu vilivyopo kwenye simu yako.
NB: Nikosa ku Hack au kuchunguza vitu ndani ya simu ya mtu bila idhini yake.....
Mkuu Makenda heshima yako kwa kunipa shule ya nguvu hii kitu nilikuwa ninasikia tuu kwa kufuata maelekezo yako sasa ninaweza kuona na ku monitor kila kitu kinachoendelea kwenye simu yangu kwa kutumia device nyingine I mean sms calls visited websites na wapi ilipo simu yaani nilifanya ata kiutafiti kuhusu location nimeipeleka simu yangu mahali Fulani na kuona itaonesha location? imeonesha kweli jf ni zaidi ya chuo kikuu