Msaada: Jinsi ya ku hack simu ya mkononi


Mkuu Makenda heshima yako kwa kunipa shule ya nguvu hii kitu nilikuwa ninasikia tuu kwa kufuata maelekezo yako sasa ninaweza kuona na ku monitor kila kitu kinachoendelea kwenye simu yangu kwa kutumia device nyingine I mean sms calls visited websites na wapi ilipo simu yaani nilifanya ata kiutafiti kuhusu location nimeipeleka simu yangu mahali Fulani na kuona itaonesha location? imeonesha kweli jf ni zaidi ya chuo kikuu
 
Sheria mpya ya makosa ya mtandao inakuhusu sana mkuu
Take care
Unaweza kufungwa au kupata ugonjwa wa moyo

Kla la heri
 
Mnataka kujiua bure na presha kwa upeku peku wenu
 
mkuu kwqa hapa sijaelewa means kwamba hizi lumia na iphone haziwi hacked???

haziwezi kuathirika na hii michezo ya kitoto ya kuibiana data na kuwa tracked. ukiwa na windows phone au ios upo salama wala usiwe na wasiwasi.
 

Mambo ya kudukuana haya
 
Nipe namba yako nikuelekeze, kuna application safi sana, ukiwa nayo hiyo na kama una mpenzi wako anatumia smartphone simu yake unaifanyia kitu cha kujijengea heshima sana. Msg calling na references zote zinaenda sehemu kujstore na wewe unazifata kwa email tu unazipata zote. Ni mzuri hata kama simu itaibiwa unaweza kufanya na ukajua wapi ilipo. Its free app
 
Thanks ubarikiwe
 
Unaweza kupata taarifa ya simu yeyote ulimwenguni.
Tahadhari kama ni ya mpenzi wako,utajisababishia matatizo bure.
Karibu PM
Mim nataka kujua SMS za mke wangu maana now days akifika home anazima. Nisipokuwepo anawasha
 
0714888689
 
Acha hayo mambo,usiweke ulinzi kiasi hicho kwa mke/mwenzi wako. Mpe nafasi kuwa na privacy yake. Umwamini tu, inatosha. Toka enzi kupigiwa kupo. Hata sisi wengine tunapiga vya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…