Msaada! Jinsi ya kuacha ngono iliokithiri

Wakuu naombeni ushuri wenu Wakuu naona nazidi kumkosea mungu kwa Haya ninayoyafanya na pia napoteza pesa nyingi Sana kwenye kula mbususu Wakuu natamani kuacha ila sijui nitaanzia wapi aisee

Naombeni msaada Wakuu
Acha ujinga wewe uache mbususu ili iweje
 
Mwasi kitoko maana yake ni msichana mzuri
 
Kuna
Fanya marekebisho andika una mfurahisha shetani
 
Wakuu naombeni ushuri wenu Wakuu naona nazidi kumkosea mungu kwa Haya ninayoyafanya na pia napoteza pesa nyingi Sana kwenye kula mbususu Wakuu natamani kuacha ila sijui nitaanzia wapi aisee

Naombeni msaada Wakuu
Umetumia kipimo gani kusema ama kutambua kwamba unafanya ngono ilio kithiri??
Mtu anaefanya ngono ilio kithiri, anajitambua kwa namna gani??
 
Wakuu naombeni ushuri wenu Wakuu naona nazidi kumkosea mungu kwa Haya ninayoyafanya na pia napoteza pesa nyingi Sana kwenye kula mbususu Wakuu natamani kuacha ila sijui nitaanzia wapi aisee

Naombeni msaada Wakuu
Hili jambo ni mtambuka ... Sio jambo la ajabu agharabu kwa vijana kupitia na kukumbana na hali io + hatia ,inayokufanya utamani kuacha. Ni ngumu sana kuacha hali kama hio ila kama umeweka nia ni rahisi ushauri wangu
1. Review your social life
2.jitahid kumpata mtu mmoja wa kuwa naye katika mahusiano na uyaweke public ,usiogope kutembea nae na kuenjoy naye pamoja hata kumtambulisha kwa watu.

Kwa maelezo uliyotoa umezungumzia kupenda ngono (sex) ambayo kwa binafs naamin sio tatizo ,,,tatizo huja inapokua sio safe . Nimejikita kujaribu kutoa ushauri ambao waweza saidia kuacha tabia ya kubadili wanawake kama ndo shida mama iliyokua yakusumbua... Mbususu is not bad drug
 
Hongera sana kwa uelimishaji
 
Ni tusi

Kikongo KITOKO ni Mrembo Ila huku kwetu KITOKO ni tusi baadhi ya makabila ni tusi kabisa
 
Wakuu naombeni ushuri wenu Wakuu naona nazidi kumkosea mungu kwa Haya ninayoyafanya na pia napoteza pesa nyingi Sana kwenye kula mbususu Wakuu natamani kuacha ila sijui nitaanzia wapi aisee

Naombeni msaada Wakuu
Ukipata GONO usilitibu
Huo ndo utakuwa mwanzo kuachana na umalaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ