Msaada! Jinsi ya kuacha ngono iliokithiri

Msaada! Jinsi ya kuacha ngono iliokithiri

Ahahahahah.. sijui kwann nimecheka sana hapa.
Sasa kwa wasukuma ukisema "mwasi kitoko" itakua na maana gani?.
Maana LIKUD alisemaga kwa kisukuma "mwasi" ni msichana.

Nisaidie kujua maana ya mnemba kwa hao watu wa kusini.
Na maana ya kitoko kwa wasukuma mkuu😂
Mwasi kitoko maana yake ni msichana mzuri
 
Ahahahahah.. sijui kwann nimecheka sana hapa.
Sasa kwa wasukuma ukisema "mwasi kitoko" itakua na maana gani?.
Maana LIKUD alisemaga kwa kisukuma "mwasi" ni msichana.

Nisaidie kujua maana ya mnemba kwa hao watu wa kusini.
Na maana ya kitoko kwa wasukuma mkuu😂
Kuna
Hayo Mambo sisi wenyewe kwa Akili na nguvu na juhudi Zetu Hakika hatuwezi isipokua kwa NEEMA ya MUNGU tu, ndani ya NEEMA ya MUNGU kuna kila kitu cha kutuwezesha kuishi MAISHA ambayo MUNGU aliyetupa hi NAFASI ya kutoa na kuingiza pumzi aliyakusudia tuje tuyaishi

Kwa haya unayoyafanya unamfurahisha mungu wala humkosei, MUNGU ndie unaye mkosea hapa ila mungu Ndio mapenzi yake hayo Hivyo humkosei na utukufu unaludi kwake b'se hicho unachokifanya ni ibada ya sanamu( unaemuabudu shetani)
Fanya marekebisho andika una mfurahisha shetani
 
Wakuu naombeni ushuri wenu Wakuu naona nazidi kumkosea mungu kwa Haya ninayoyafanya na pia napoteza pesa nyingi Sana kwenye kula mbususu Wakuu natamani kuacha ila sijui nitaanzia wapi aisee

Naombeni msaada Wakuu
Umetumia kipimo gani kusema ama kutambua kwamba unafanya ngono ilio kithiri??
Mtu anaefanya ngono ilio kithiri, anajitambua kwa namna gani??
 
Wakuu naombeni ushuri wenu Wakuu naona nazidi kumkosea mungu kwa Haya ninayoyafanya na pia napoteza pesa nyingi Sana kwenye kula mbususu Wakuu natamani kuacha ila sijui nitaanzia wapi aisee

Naombeni msaada Wakuu
Hili jambo ni mtambuka ... Sio jambo la ajabu agharabu kwa vijana kupitia na kukumbana na hali io + hatia ,inayokufanya utamani kuacha. Ni ngumu sana kuacha hali kama hio ila kama umeweka nia ni rahisi ushauri wangu
1. Review your social life
2.jitahid kumpata mtu mmoja wa kuwa naye katika mahusiano na uyaweke public ,usiogope kutembea nae na kuenjoy naye pamoja hata kumtambulisha kwa watu.

Kwa maelezo uliyotoa umezungumzia kupenda ngono (sex) ambayo kwa binafs naamin sio tatizo ,,,tatizo huja inapokua sio safe . Nimejikita kujaribu kutoa ushauri ambao waweza saidia kuacha tabia ya kubadili wanawake kama ndo shida mama iliyokua yakusumbua... Mbususu is not bad drug
 
Pole sana pia hongera kwakuja hapa kuthibitisha kua wewe nikijana wa hovyo kwenye jamii na mbele za universe.
Walio wengi hujificha kwenye matatizo yao wakidhani ndio njia pekee yakuishinda aibu na fedheha watakayo pata hapo badae.
Nisikiliza vizuri sana wewe ni universe wewe ndio mtengenezaji wa hii dunia nawewe ndio mbomoaji wa dunia hii.
Amua sasa,anza kuijenga upya dunia acha uchafu wanamna hiyo.
Funga harafu fanya meditation walau kwasiku mara2.
Kwamsaada na muongozo chukua namba hapo profile nicheki WhatsApp uanze darasa
🙏🙏🙏
Hongera sana kwa uelimishaji
 
Ahahahahah.. sijui kwann nimecheka sana hapa.
Sasa kwa wasukuma ukisema "mwasi kitoko" itakua na maana gani?.
Maana LIKUD alisemaga kwa kisukuma "mwasi" ni msichana.

Nisaidie kujua maana ya mnemba kwa hao watu wa kusini.
Na maana ya kitoko kwa wasukuma mkuu😂
Ni tusi

Kikongo KITOKO ni Mrembo Ila huku kwetu KITOKO ni tusi baadhi ya makabila ni tusi kabisa
 
Wakuu naombeni ushuri wenu Wakuu naona nazidi kumkosea mungu kwa Haya ninayoyafanya na pia napoteza pesa nyingi Sana kwenye kula mbususu Wakuu natamani kuacha ila sijui nitaanzia wapi aisee

Naombeni msaada Wakuu
Ukipata GONO usilitibu
Huo ndo utakuwa mwanzo kuachana na umalaya
 
Back
Top Bottom