Msaada jinsi ya kuandika maandishi mahali na kuyahifadhi ili baadae kuyachapisha au kuyahamishia mahali pengine

Msaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote.

Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost hapa jamii forums.

mshamba_hachekwi Joanah
Andika kwenye keratosis halafu baadae unaipiga picha then unaposti
 
Msaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote.

Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost hapa jamii forums.

mshamba_hachekwi Joanah
Ili umvutie e😂
 
Simulizi: Sekunde 921
Mtunzi: kijana masikini
Sehemu ya kwanza.

Kabla sijamjibu chochote Alex niliingia ndani na kuanza kutafuta picha ya sadati huku jasho jingi likinitoka, japo akili yangu ilikuwa ikiniambia kabisa kwamba pichi niliweka ndani ya kabati lakini mboni za macho yangu zilishindwa kabisa kuiona.

"Dah nafanyaje sasa"
Niliongea huku nikiitazama saa yangu ya mkononi.

"Kim.. Kim.. Kim ujue unachojaribu kukifanya ni kitu hatari sio kwako tu bali kwa familia kwa ujumla hususani dada yako"

Aliongea Alex huku akitanguliza kiniita mara tatu kwa jina langu la Kim ambalo ni ufupisho wa KIjana Masikini

Nilimgeukia Alex na kumtazama, alikuwa amesimama mlangoni akionekana kutokuridhia kabisa juu ya jambo nililodhamiria kulifanya.

"Alex, jasiri hufa mara moja tu ila muoga hufa mara nyin....

yeees nimeweza asante sana wote mliojitokeza kunisaidia.
sheremaya Edo kissy
Fanya kuiandaa yote mkuu
 
Msaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote.

Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost hapa jamii forums.

mshamba_hachekwi Joanah
Najua umeshapewa miongozo
 
Back
Top Bottom