Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
Unanilaani auSikutaki tena najuwa tu unataka kunirushia ndege wangu. nilishasema tangu asubuhi utanikumbuka tu mimi ni supa staa ajae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanilaani auSikutaki tena najuwa tu unataka kunirushia ndege wangu. nilishasema tangu asubuhi utanikumbuka tu mimi ni supa staa ajae.
Andika kwenye keratosis halafu baadae unaipiga picha then unapostiMsaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote.
Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost hapa jamii forums.
mshamba_hachekwi Joanah
Ili umvutie e😂Msaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote.
Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost hapa jamii forums.
mshamba_hachekwi Joanah
Eee hii chansi ilikuwa yako ukaipoteza, vuta picha kama ningekuwa nimekuimbia ule wimbo kule chitchat, ungekuwa ni staa wa aina gani! Thamani yako ingeongezeka kwa kiwango gani hapa jeiefu?Unanilaani au
Pamoja kiongozi ila nitakuwa nakusumba sana nikikwama na lolote, itabidi univumilie kwa hili.swadakta umeweza hongera mkuu
🤣🤣🤣🤣 usimwage kuku kwenye mchele wengiIli umvutie e😂
Sawa mkuu, natumia ushaanza kuandika story.🤣🤣🤣🤣 usimwage kuku kwenye mchele wengi
Hapana ila nilikuwa naiandika kichwani nadhani kesho nitaanza kuiandika taratibuSawa mkuu, natumia ushaanza kuandika story.
Big up, nasubiri tag yako😂Hapana ila nilikuwa naiandika kichwani nadhani kesho nitaanza kuiandika taratibu
😂😂😂Big up, nasubiri tag yako😂
Ngoja tuoneEee hii chansi ilikuwa yako ukaipoteza, vuta picha kama ningekuwa nimekuimbia ule wimbo kule chitchat, ungekuwa ni staa wa aina gani! Thamani yako ingeongezeka kwa kiwango gani hapa jeiefu?
Sawa nangoja muoneNgoja tuone
Big up, nasubiri tag yako😂
Copy and paste kish unaipnga kazihapa nimeandika kupitia Notes ya simu yangu Kama nilivyoelekezwa na Mkuu Mwachiluwi, nafainyaje hii ili kuipost
Mwachiluwi Nomadix
View attachment 3233783
😂Sawa nangoja muone
Fanya kuiandaa yote mkuuSimulizi: Sekunde 921
Mtunzi: kijana masikini
Sehemu ya kwanza.
Kabla sijamjibu chochote Alex niliingia ndani na kuanza kutafuta picha ya sadati huku jasho jingi likinitoka, japo akili yangu ilikuwa ikiniambia kabisa kwamba pichi niliweka ndani ya kabati lakini mboni za macho yangu zilishindwa kabisa kuiona.
"Dah nafanyaje sasa"
Niliongea huku nikiitazama saa yangu ya mkononi.
"Kim.. Kim.. Kim ujue unachojaribu kukifanya ni kitu hatari sio kwako tu bali kwa familia kwa ujumla hususani dada yako"
Aliongea Alex huku akitanguliza kiniita mara tatu kwa jina langu la Kim ambalo ni ufupisho wa KIjana Masikini
Nilimgeukia Alex na kumtazama, alikuwa amesimama mlangoni akionekana kutokuridhia kabisa juu ya jambo nililodhamiria kulifanya.
"Alex, jasiri hufa mara moja tu ila muoga hufa mara nyin....
yeees nimeweza asante sana wote mliojitokeza kunisaidia.
sheremaya Edo kissy
Sio hii mkuu hapa nilikuwa najaribu tu kuchapisha kutoka kwenye NotbookFanya kuiandaa yote mkuu
Asante mkuu nimewezaCopy and paste kish unaipnga kazi
Unyama sana mkuuSio hii mkuu hapa nilikuwa najaribu tu kuchapisha kutoka kwenye Notbook
Najua umeshapewa miongozoMsaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote.
Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost hapa jamii forums.
mshamba_hachekwi Joanah