Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Waungwana mimi nimemaliza form six mwaka huu kama private candidate, ila nikiingia kwenye applications wanasema namba yangu a-level hawaijui. but ni namba halisi ya Mbezi Beach. wale bodi ya mikopo wameitambua bila wasiwasi. naombeni msaada wenu wanajamvi. natanguliza shukrani