Msaada jinsi ya kuapply tcu

Msaada jinsi ya kuapply tcu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waungwana mimi nimemaliza form six mwaka huu kama private candidate, ila nikiingia kwenye applications wanasema namba yangu a-level hawaijui. but ni namba halisi ya Mbezi Beach. wale bodi ya mikopo wameitambua bila wasiwasi. naombeni msaada wenu wanajamvi. natanguliza shukrani
 
aidha kuna mrejesho wa "NAMBA IMETUMIKA" na hii "NAMBA HAJULIKANI". Kwa hili, kama una namba ya P uliyoitumia katika 2nd sitting inabidi ujaze kwanza ile ya 1st sitting ambayo inawezakuwa ni S au P.
 
Back
Top Bottom