Msaada jinsi ya kublock hizi meseji za bahati nasibu za haya makampuni ya mawasiliano ya simu

Msaada jinsi ya kublock hizi meseji za bahati nasibu za haya makampuni ya mawasiliano ya simu

Bunge letu dhaifu. Hii kitu ilitakiwa sheria iwekwe maana simu yangu sio uwanja wa matangazo yao la sivyo walipie kila ikija.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20220626-230902_Messages.jpg
    Screenshot_20220626-230902_Messages.jpg
    38.2 KB · Views: 6
Back
Top Bottom