Msaada: Jinsi ya kufuta love bite

Msaada: Jinsi ya kufuta love bite

Nyamwi255

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
4,848
Reaction score
12,776
Au jinsi ya kuifichaficha isionekane kwa mtu ambaye hajaiweka yeye. Au kufikia Jioni itakuwa imeshafutika yenyewe?

NB:
1. Nasoma comment tu. Nita mquote mtu mwenye positive reply Tena pale inapobidi.

2. Matusi, kejeli, kebehi yanaruhusiwa.

Kazi kwenu.....
 
Au jinsi ya kuifichaficha isionekane kwa mtu ambaye hajaiweka yeye. Au kufikia Jioni itakuwa imeshafutika yenyewe...?

NB: Nasomea comment tu sita mquote mtu.
N.B no 2. Matusi, kejeli, kebehi yanaruhusiwa...
Kazi kwenu.....
Njoo PM nikuelekeze free ovu chaji, Mambo ya weekend hayo, dah, ulienda au alikuja??
 
Au jinsi ya kuifichaficha isionekane kwa mtu ambaye hajaiweka yeye. Au kufikia Jioni itakuwa imeshafutika yenyewe?

NB: no 1. Nasoma comment tu. Nita mquote mtu mwenye positive reply Tena pale inapobidi.
N.B no 2. Matusi, kejeli, kebehi yanaruhusiwa.
Kazi kwenu.
We usisumbue watu na hilo papuchi lako km sikio la tembo.
Uende kugongwa huko alafu sisi tukupe ushauri.
Mambo ya love bite kwanza yashapitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom