πππUlipata 1.9 [PCB] harafu ukaomba Education?..Aisee.
Hizo wiki mbili wana zitoa mda gani kaka?TCU wanatoaga window zile week mbili za usajili.
Ni vizuri ukienda kwenye chuo unachotaka kwenda, waoneshe ufahuru wako wakuwekee nafasi.
TCU wakitoa ile window Admission officer anakuweka hafu anatuma TCU for verification.
Ikifeli, bora kusubiria mwakani uombe tena kuliko kusoma course ambayo hauipendi.
Ulipata 1.9 [PCB] harafu ukaomba Education?..Aisee.
hivi ni "course" ama ni programTCU wanatoaga window zile week mbili za usajili.
Ni vizuri ukienda kwenye chuo unachotaka kwenda, waoneshe ufahuru wako wakuwekee nafasi.
TCU wakitoa ile window Admission officer anakuweka hafu anatuma TCU for verification.
Ikifeli, bora kusubiria mwakani uombe tena kuliko kusoma course ambayo hauipendi.
Unachaguliwa vipi bila kuomba??.. Hawa wasomi wa sasa bhana!!... Yani mtu alishafanya selection ya kozi kisha akaomba anazozitaka... Afu anakuja hapa kutuomba ushauri ipi inamfaa... MY FRIEND MY FRIEND.... Yani mpaka vyuo vimekuchagua ndo hujui nini kinakufaa... Kipi sijui kina Ajira... Wewe kasome chochote... Kikubwa Gonga GPA Kali uone kama utakosa KAZI...Amna nimechaguliwa education
Ni kweli wenye 1.9 kwa vyuo vya serikali hakuna aliyechukuliwa. Cutoff points zimekuwa juu sana.Ulipata 1.9 [PCB] harafu ukaomba Education?..Aisee.