Msaada: Jinsi ya kuhama Course Chuo Kikuu

Msaada: Jinsi ya kuhama Course Chuo Kikuu

icon_2000

Senior Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
177
Reaction score
256
Habarini jamani wakubwa zangu. Naombeni kuuliza ivi kubadili course Chuo Kikuu mfano kutoka Education kwenda Nursing kwa ufaulu wa 1.9 (PCB).

Kuna ugumu gani kwenye nyuo vya binafsi na serikalini na utofauti wake kwenye chuo kikuu binafsi na vya serikali?
 
TCU wanatoaga window zile week mbili za usajili.

Ni vizuri ukienda kwenye chuo unachotaka kwenda, waoneshe ufahuru wako wakuwekee nafasi.

TCU wakitoa ile window Admission officer anakuweka hafu anatuma TCU for verification.

Ikifeli, bora kusubiria mwakani uombe tena kuliko kusoma course ambayo hauipendi.
 
Hizo wiki mbili wana zitoa mda gani kaka?
 
TCU wanatoaga window zile week mbili za usajili.

Ni vizuri ukienda kwenye chuo unachotaka kwenda, waoneshe ufahuru wako wakuwekee nafasi.

TCU wakitoa ile window Admission officer anakuweka hafu anatuma TCU for verification.

Ikifeli, bora kusubiria mwakani uombe tena kuliko kusoma course ambayo hauipendi.
hivi ni "course" ama ni program

JESUS IS LORD
 
Kwa wanachuo wanaopenda kuishi kigamboni karibu na Ferry/Kivukoni Nicheki Whatsapp ili upate Room ya ndoto yako.

Asante.
WhatsApp:+255620523897.
#Chumba #Vyumba #Kigamboni #Ferry #Kivukoni #Pantoni #Chuo #Vyuo #College #Universitylife #Collegelife
 
Amna nimechaguliwa education
Unachaguliwa vipi bila kuomba??.. Hawa wasomi wa sasa bhana!!... Yani mtu alishafanya selection ya kozi kisha akaomba anazozitaka... Afu anakuja hapa kutuomba ushauri ipi inamfaa... MY FRIEND MY FRIEND.... Yani mpaka vyuo vimekuchagua ndo hujui nini kinakufaa... Kipi sijui kina Ajira... Wewe kasome chochote... Kikubwa Gonga GPA Kali uone kama utakosa KAZI...
 
Ulipata 1.9 [PCB] harafu ukaomba Education?..Aisee.
Ni kweli wenye 1.9 kwa vyuo vya serikali hakuna aliyechukuliwa. Cutoff points zimekuwa juu sana.
Nina mfano hai wa binti wa family friend aliomba nursing UDOM na Muhimbili kote akatemwa na 1.9 yake kwenye PCB (CCC). Awamu ya pili akaomba Laboratory technology Must ametemwa ila amechaguliwa DUCE Bsc with Education.
 
Back
Top Bottom