Msaada: Jinsi ya kujizuia kumwaga ndani ili kuzuia mimba

Kumwaga nje na kondom niliachaga yaan ni kama unapiga PUCHU kalenda ndio njia mbadala na iko poa mm na mke wng ndio tunayotumia
 
Unaweza kudumu Muda gani juu ya mama?
 
Wasikukatishe tamaa,
Inawezekana sana,.endelea kujaribu ipo siku utaweza
 
Hii njia ngumu sana, yaani goli linataka kuingia linapotakiwa alafu ujikoseshe, dah! Raha ya kumwaga umwagie ndani tena pekupeku!!
 
Ni njia salama kabisa kuliko kujitomb mwenyewe kwa condom. Mie nishaiweza sana, tena nikimwaga namwaga juu yake kiroho safi
 
Haki sawa, ukishindwa mwambie yeye amwage nje.
 
Usipo kuwa na roho ngumu huwezi Mimi mwanzo ilikuwa ngumu sana kutema utamu ule wote sio mchezo!
 
Hii njia naiweza kabisa, i did it a couple of times, kila ninapohitaji. Kama huwezi huwezi tu, ila lazima uwe na mkoja ili kila ukimwagia nje ukajoe mkojo ili manii yanayobaki kwenye njia yatoke, la sivyo utamwaga nje na kumpa mimba... Hii njia inahitaji discipline ya hali ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…