Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,879
- 3,309
Kwani hiyo FC25 umeipataje chief?Salaam wakuu,
Kwa wajuvi naomba msaada wa namna ya kununua akaunti kwa ajili ya kuDownload games za PS4.
Mashine yangu ni ya games za akaunti.
Naomba kuwasilisha.