Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Hiyo haraka yako itapelekea wazee wa fursa wakupige mpunga halafu waingie mitiniHabari JF
Ninahitaji kujua taratibu za kupata TIN number kwa ajili ya kupata lesseni ya udereva.
Mwenye kujua taratibu naomba anisaidie
NB sina namba ya NIDA
Nimefatilia nimeambiwa ntapata after 2 weeks na TIN number inahitajika jumatatu ya kesho
Msaada!!!!!
Kule lazima uwe na numberHiyo haraka yako itapelekea wazee wa dursa wakupige mpunga halafu waingie mitini
Jaribu kuingia website ya tra nadhani kuna option ya kugenerate tin number kule.. goodluck..
Nenda ofisi za TRA watakupa utaratibu ninae mtu aliipata kwa cheti cha kuzaliwa tu na leaving ya Shule ya msingi. Alipata hiyo, akapewa learner na baadae akapata leseni pia mpaka sasa hana namba ya nidaKule lazima uwe na number
Ya nida