Msaada jinsi ya kupata TIN number

Msaada jinsi ya kupata TIN number

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Habari JF
Ninahitaji kujua taratibu za kupata TIN number kwa ajili ya kupata lesseni ya udereva.

Mwenye kujua taratibu naomba anisaidie
NB sina namba ya NIDA
Nimefatilia nimeambiwa ntapata after 2 weeks na TIN number inahitajika jumatatu ya kesho

Msaada!!!!!
 
Hiyo haraka yako itapelekea wazee wa fursa wakupige mpunga halafu waingie mitini
Jaribu kuingia website ya tra nadhani kuna option ya kugenerate tin number kule.. goodluck..
 
Hiyo haraka yako itapelekea wazee wa dursa wakupige mpunga halafu waingie mitini
Jaribu kuingia website ya tra nadhani kuna option ya kugenerate tin number kule.. goodluck..
Kule lazima uwe na number
Ya nida
 
Kule lazima uwe na number
Ya nida
Nenda ofisi za TRA watakupa utaratibu ninae mtu aliipata kwa cheti cha kuzaliwa tu na leaving ya Shule ya msingi. Alipata hiyo, akapewa learner na baadae akapata leseni pia mpaka sasa hana namba ya nida
 
Back
Top Bottom