Msaada jinsi ya kupiga goli zaidi ya moja kwenye sex.

Msaada jinsi ya kupiga goli zaidi ya moja kwenye sex.

Hili la kula matikiti maji mimi nililiona humu kwenye jf na hii mada kama sikosei aliiongelea MziziMkavu ,sasa siku moja wakati nakatiza sehemu jioni kwenye kituo cha basi nikakuta midume kibao inafakamia kwa fujo,nikauliza mbona watu wanayapenda sana haya matunda,nikaambiwa kuwa yanasaidia kurudisha heshima nyumbani,ukweli na mimi nikaamua kujiinjgiza kwenye huo ulaji, Super h yaani mpaka ninavyokueleza sasa hivi napiga goli tatu mpaka nne kwa usiku mmoja wakati nilikuwa kama wewe ulivyoeleza hapo juu.
 
Listen its simple,, usiwe na haraka muandae mwenzio kwa muda kidogo kissing, hugging,touch za hapa na pale kwenye sensitive part zake then bidae unaweka mzigo ndani na kutoweka mawazo hapo utakuta anatumia mda mfupi kufika na mambo yanakuwa safi ndugu yangu,,,, ( make sure mwenzio siku anainjoy hilo tendo na mwishowe kufika coz ikiendelea hivyo watu watakusaidia mzee na unaweza kupigwa kadi ya njano mwishowe nyekundu)))))))
 
Wasaalam wakuu wangu,mimi uwezo wangu ni goli moja tu na huwa najitahidi kucheza na feeling zangu ili walau nimfikishe mwenza wangu kileleni na ikitokea siku sex ni tamu sana uvumilivu huwa unaniisha na kujikuta nimepiz na kumwacha mwenzangu akilalamika na hapo siwezi tena labda yapite masaa 6 ndio isimame tena.
Sasa huwa najiuliza sana nina matatizo au ndio kawaida embu nisaidieni wakuu.
masaa 6 mwee kweli unatatizo kubwa sana mkuu,au unapiga sana puli?
 
Hili la kula matikiti maji mimi nililiona humu kwenye jf na hii mada kama sikosei aliiongelea MziziMkavu ,sasa siku moja wakati nakatiza sehemu jioni kwenye kituo cha basi nikakuta midume kibao inafakamia kwa fujo,nikauliza mbona watu wanayapenda sana haya matunda,nikaambiwa kuwa yanasaidia kurudisha heshima nyumbani,ukweli na mimi nikaamua kujiinjgiza kwenye huo ulaji, Super h yaani mpaka ninavyokueleza sasa hivi napiga goli tatu mpaka nne kwa usiku mmoja wakati nilikuwa kama wewe ulivyoeleza hapo juu.
tikiti natafuna na mbegu zake ama pekee embu funguka kidogo mkuu
 
Quality over quantity, always! "Magoli" matatu mpaka Sita yote ya nini? Sounds like some of you make love like its the the last time. Or you just go out of jail. Either way, nakushauri usianzie kwenye Love Below , bali umuandae mwenzako since Wewe satisfaction yako ni guaranteed, lakini si yake. Tumia mikono, vidole, mdomo. The most powerful organ is your brain. Kama kweli ukifocus kummplease mwenzako nina uhakika utaweza kumfikisha bila kurudia "'mechi" mara kadhaa. Too much of a good thing can't be good for you. Nafikiria hiyo friction, mama weeee! 6 rounds? Smh...
 
Kwa uhakika 100%,kunywa juice ya ubuyu kwa mwez m1,acha kula vya kupka na mafta meng,kila asbh knyw mchngk wa asal+saum
 
Kula vizuri, fanya mazoezi, na fanya sex mara nyingi uwezavyo, naaaa..... Concentrate kazini kijana!
 
mimi huwanapiga goli moja tu,ila sikojoi hadi amefika kileleni na huwahataki kabisa kuendelea another round hapo huchukua 3day ndio hurudia tena,kwanza huwa namuandaa hadi inafika mahali ananiambia niache hata kunipiga kwamba anafika kilelen kabla hapo humuacha kido hukuniki punguza kasi ya kucheza nae kisha huongeza hapo ss huanza kulalamika na kudai niingize kisha huingiza kwa madoido taratibuuu hapo huanza kujitikisa mwenye namm kumsaidia ghafla huongeza kasi ila kwa kumsoma yey zaidi,maramoja huhema nakutoa mlio wa mahaba hapomm hukazana kama namaliza mbho za 1500meter,hii ndio mbinu hutumia. Jaribu na ww kisha nipe jibu.
 
Kwa uhakika 100%,kunywa juice ya ubuyu kwa mwez m1,acha kula vya kupka na mafta meng,kila asbh knyw mchngk wa asal+saum
unaonekana unaushauri mzuri ila ni mvivu wa kuandika,ukishaamua kumsaidia mtu usiwe tena mvivu jombaa
 
Unatakiwa unamtaim kipa,unatishia una piga kushoto halafu unapiga kulia,kwa staili hii utafunga magoli kibao

duuuu mkuu unatisha hizi chimpumu za asubuhi asubuhi hizi!!!!!!!!
 
Mbona wengine tunapiga goli moja tu lakini mziki wake ndio balaa.
una defence nzuri kama chelsea ya maurinho...shida ya mwenzio ni kama arsanel foward butu defence nayo uchochoro
 
Back
Top Bottom