Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,292
ushauri mwingine bana da!Kunywa juice ya tende watakukoma lazima ukimnbiwe pia kula sana matikiti maji matango na mapera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ushauri mwingine bana da!Kunywa juice ya tende watakukoma lazima ukimnbiwe pia kula sana matikiti maji matango na mapera
Mweh, haya waungwana, hapa nimepotea njia ngoja nile kona upande mwingine.
masaa 6 mwee kweli unatatizo kubwa sana mkuu,au unapiga sana puli?Wasaalam wakuu wangu,mimi uwezo wangu ni goli moja tu na huwa najitahidi kucheza na feeling zangu ili walau nimfikishe mwenza wangu kileleni na ikitokea siku sex ni tamu sana uvumilivu huwa unaniisha na kujikuta nimepiz na kumwacha mwenzangu akilalamika na hapo siwezi tena labda yapite masaa 6 ndio isimame tena.
Sasa huwa najiuliza sana nina matatizo au ndio kawaida embu nisaidieni wakuu.
tikiti natafuna na mbegu zake ama pekee embu funguka kidogo mkuuHili la kula matikiti maji mimi nililiona humu kwenye jf na hii mada kama sikosei aliiongelea MziziMkavu ,sasa siku moja wakati nakatiza sehemu jioni kwenye kituo cha basi nikakuta midume kibao inafakamia kwa fujo,nikauliza mbona watu wanayapenda sana haya matunda,nikaambiwa kuwa yanasaidia kurudisha heshima nyumbani,ukweli na mimi nikaamua kujiinjgiza kwenye huo ulaji, Super h yaani mpaka ninavyokueleza sasa hivi napiga goli tatu mpaka nne kwa usiku mmoja wakati nilikuwa kama wewe ulivyoeleza hapo juu.
Hii nimeipenda! Du, we mkuu kibokoUnatakiwa unamtaim kipa,unatishia una piga kushoto halafu unapiga kulia,kwa staili hii utafunga magoli kibao
Huyu jamaa namshangaa kweli, si afunge bao moja halafu aimarishe ulinzi, haya mabao mengi bila ulinziHii nimeipenda! Du, we mkuu kiboko
Kwi kwi kwi nyaaa la kuku tena uharo au yale magumu? lazima utakuwa unatania wewe.kula mavi ya kuku
unaonekana unaushauri mzuri ila ni mvivu wa kuandika,ukishaamua kumsaidia mtu usiwe tena mvivu jombaaKwa uhakika 100%,kunywa juice ya ubuyu kwa mwez m1,acha kula vya kupka na mafta meng,kila asbh knyw mchngk wa asal+saum
Unatakiwa unamtaim kipa,unatishia una piga kushoto halafu unapiga kulia,kwa staili hii utafunga magoli kibao
kitaani ni bao, kiswahili fasaha mshindogoli ni nini?
waarabu wa pemba wanajuana kwa vilembamasaa 6 mwee kweli unatatizo kubwa sana mkuu,au unapiga sana puli?
bao si litakuwa sumu sasaKunywa chloroquin dozi nzima
una defence nzuri kama chelsea ya maurinho...shida ya mwenzio ni kama arsanel foward butu defence nayo uchochoroMbona wengine tunapiga goli moja tu lakini mziki wake ndio balaa.