Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,063
PoaSawa ntakutafuta
Pole sana kwa hiyo hali naamin majbu na ushauri utaupata humu kwa wataalamu zingatia ushauri waoWapendwa wa JF habarini, poleni na majukumu.
Kama kichwa cha habari kilivyo,
Naomba ushauri ili niweze kupunguza au kuondoa kabisa hasira katika maisha yangu.
Wakuu ninatabia ya kupandwa hasira
Nahitaji ushauri wenu nifanye nini ili nisiwe mtu wa hasira hasira.
Kama una bunduki Piga risasi hasira itaisha.Wapendwa wa JF habarini, poleni na majukumu.
Kama kichwa cha habari kilivyo,
Naomba ushauri ili niweze kupunguza au kuondoa kabisa hasira katika maisha yangu.
Wakuu ninatabia ya kupandwa hasira hata kwa jambo dogo mimi ni mtu wa kukasirika sana, nikitofautiana tu na mtu kwa jambo lolote lazima nikasirike. Hasira hizi zimenifanya baadhi ya ndugu na marafiki wapungue nimeshindwa kujitawala.
Nahitaji ushauri wenu nifanye nini ili nisiwe mtu wa hasira hasira.
Sawa mkuuYasome hayo maandiko ya Mungu na kuyatafakari kwa kina pia jaribu kukutana na watu wa kiroho kwa maombezi, wakati mwingine ni shetani,mapepo na hata tabia fulani za kurithi umefungamana nazo kwahiyo bila maombi ni kazi bure.
Sawa mkuu ntafanya hivyoPole Sana kwa hilo maana mara nyingi hali kama hiyo inakupa majuto sana baada ya kujikuta umemkasirikia mtu kwa sababu isiyo ya msingi.
Ila kwa wewe kujua ni tatizo tayar ni nusu ya jibu. Mm pia kuna wakati nilipitia hali kama ya kwako nilijitahidi kuacha nikashindwa,ilibidi nimwombe Mungu sana na kujilazimisha kuacha hasira hatimaye nilifanikiwa kupunguza sana hasira. Jitahidi kuwa mtu wa ibada na kumwomba Mungu au kuwashirikisha wengine wakuombee nina hakika utafanikiwa. All the best
Ushauri ni mzuri ila sio muongeaji,mpigaji majungu,na sijaonesha ubishi na dharau yoyote hapaKwanza, badilisha Avatar/picha yako, nayo ni jipu.
Kisha, tegemea hiyo kampani yako kukusidia na siyo kuwafanya adui zako.
Tena, tumia muda mwingi kufanya kazi na acha stori za majungu na watu wanaokuzunguka
Jitahidi, kuwasikiliza watu badala ya wewe kuwa muongeaji sana na kuona kuwa unaelewa kila kitu.
Kubali mawazo ya wengine wanapokushauli au wanapoongea jambo lolote lile.
Pia, usiwe mbishi, maana hata hapa umeleta matatizo ila bado unaonesha tabia za kibishi bishi na kudharau wanao kusaidia.
Wengine wataongezea.
Nitarudi tena ... ... ...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dawa Ni kupunguza tu hasira