Asante sana nakuahid nitafanya hayaTumia njia zifuatazo,
1) Njia ya kuhesabu Namba kuanzia juu kushuka chini , hasira zikikupanda kabla hujachukua uamuzi wowote anza kuhesabu kimoyo moyo kuanzia labda 50 49 48 47 46......mpaka unafika 1. Hii inasaidia sana kupunguza hasira.
2) Tumia breathing meditation, Anza kushusha pumzi na kupandisha Fanya hivyo angalau robo saa.
3) Kunywa Maji ya baridi au nenda kabisa kaoge Maji ya baridi.
Sawa mkuu ntafanya ivo1.Fikiria matokeo ya utakachokifanya
2. Sema Mungu nisaidie ipungue hii hasira
3. Dharau, mdharau anaekupandisha hasira, afu jisemee hakuna mtu anastahili jasho langu au hasira yangu
itaacha mm namalizaga kwa mtindo huo.. sitakagi ngeu na mamizigo ya hasira
Nimesomea pyschologia nitafute niku counselling utabadilka ...though itahitaji utahayari,kujikubali na follow up kuinsure progressWapendwa wa JF habarini, poleni na majukumu.
Kama kichwa cha habari kilivyo,
Naomba ushauri ili niweze kupunguza au kuondoa kabisa hasira katika maisha yangu.
Wakuu ninatabia ya kupandwa hasira hata kwa jambo dogo mimi ni mtu wa kukasirika sana, nikitofautiana tu na mtu kwa jambo lolote lazima nikasirike. Hasira hizi zimenifanya baadhi ya ndugu na marafiki wapungue nimeshindwa kujitawala.
Nahitaji ushauri wenu nifanye nini ili nisiwe mtu wa hasira hasira.
umenichekesha sana mjomba eti 100 kushuka chini [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole sana mkuu Mimi pia nilishawahi kuwa na tatizo kama lako nakumbuka nilimfuata brother mmoja wa kanisa sasa hivi ni marehemu....alinifundisha jambo....pindi ninapokuwa na hasira nianze kuhesabu namba Kimya kimya kuanzia moja hadi mia moja ... Au mia moja kushuka chini, kingene ni kutafuna bigijii,,kingine ni kumsikiliza aliyenikosea na kukubali hata kama kanikosea Mimi nijishushe ikiwezekana niondoke eneo la tukio .,..
Sawa sawa mkuuHuo ugonjwa na mimi ninao ni mbaya sana nimepoteza kazi nyingi sana kwa sababu hii mtu akinikera tu naachana nae hata azi naiacha. Mimi uamuzi niliochukua ni mmoja kuwa anti-social ili kuepuka hali hii kidogo inanisaidia.
uhusiano upo tena sana maana hali ya uchumi inaleta fear of uncertainty ambayo baadae inaleta hasira na chukiUchumi umekaaje??kuna uhusiano gan kat ya hali ya uchumi na hasira nilizonazo??
Mmmh huu ugonjwa tupo wengi sana sometimes sijui upole sana nao unachangia au Ile kupenda kukaa mwenyeweHuo ugonjwa na mimi ninao ni mbaya sana nimepoteza kazi nyingi sana kwa sababu hii mtu akinikera tu naachana nae hata azi naiacha. Mimi uamuzi niliochukua ni mmoja kuwa anti-social ili kuepuka hali hii kidogo inanisaidia.
Nimejifunza kitu yani hasira huwa zinanitesa sana na mbaya zaidi mimi napenda sana kukaa peke angu yani kukaa na watu huwa siweziMkuu njia rahisi saana ni hii
Ukiona umeudhika sana unataka kufanya kitu kishicho cha kawaida au hata kimekutokea kitu ukapanic do this;
Vuta pumzi kubwa na zuia kwa second 5 had 10 kisha pumua taratibu fanya hivyo mara kadhaa hasira zitapungua na utapata relief na brain itafanya kazi rationally.
Unashauriwa pia kufanya hivyo mara kwa mara hata kama haupo kwenye hali ya hasira itakusaidia sana kutokua short tempared na hata kuwa na maaamuzi rational kwenye mazingira magumu.
Yani mimi niko tofauti nikitoa tu chozi nnakua na maamuzi ambayo ni magumu na ujasiri uliopitiliza ila nikikasirika chozi lisitoke nakua kawaida sanaMhh mweeeh.... !! Wenzako chozi likitoka hasira znaisha lkn we ndo znapada..!! Utaua watu ndugu yangu
Hasira zinaletwa na shetani shetani kaumbwa na moto ukiwa na hasira kama wewe ni muislamu tawadha Au kama ni dini nyingine kunywa Maji kwakuwa shetani ni moto utakuwa umemwagia maji basi atapowa kama hakuna maji na wewe ulikuwa umesimama kaa kama ulikuwa umekaa jilaze ni hayo tuWapendwa wa JF habarini, poleni na majukumu.
Kama kichwa cha habari kilivyo,
Naomba ushauri ili niweze kupunguza au kuondoa kabisa hasira katika maisha yangu.
Wakuu ninatabia ya kupandwa hasira hata kwa jambo dogo mimi ni mtu wa kukasirika sana, nikitofautiana tu na mtu kwa jambo lolote lazima nikasirike. Hasira hizi zimenifanya baadhi ya ndugu na marafiki wapungue nimeshindwa kujitawala.
Nahitaji ushauri wenu nifanye nini ili nisiwe mtu wa hasira hasira.
Ni kweli mkuu hii hali inaniandama sanaMmmh huu ugonjwa tupo wengi sana sometimes sijui upole sana nao unachangia au Ile kupenda kukaa mwenyewe
Yani mimi nikikwazika nachozi tu likinitoka kitakachofuatia hapo Mungu ndio anajua na sikubali nishindwe ila unakuta baada ya mda naanza kujutia kwanini nimefanya hivi hua sipendi sana kujihusisha na jambo naloona litanikwaza ila kuna mda matukio yanakufuata tu
Asante sana ndugu yangu ubarikiweHasira zinaletwa na shetani shetani kaumbwa na moto ukiwa na hasira kama wewe ni muislamu tawadha Au kama ni dini nyingine kunywa Maji kwakuwa shetani ni moto utakuwa umemwagia maji basi atapowa kama hakuna maji na wewe ulikuwa umesimama kaa kama ulikuwa umekaa jilaze ni hayo tu