mwayungi
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,814
- 3,079
- Thread starter
- #41
Asante sana nakuahid nitafanya hayaTumia njia zifuatazo,
1) Njia ya kuhesabu Namba kuanzia juu kushuka chini , hasira zikikupanda kabla hujachukua uamuzi wowote anza kuhesabu kimoyo moyo kuanzia labda 50 49 48 47 46......mpaka unafika 1. Hii inasaidia sana kupunguza hasira.
2) Tumia breathing meditation, Anza kushusha pumzi na kupandisha Fanya hivyo angalau robo saa.
3) Kunywa Maji ya baridi au nenda kabisa kaoge Maji ya baridi.