pole sana mama mtoto,kweli matatizo kila mtu ana yake jana tu nimetoka kuomba ushauri hapa kuwa mwanangu hajaanza kusimama dede mwaka na miez miwili,wenzake wa rika hili wanatembea nw,kumbe mwenzangu una tatizo kubwa zaidi,kiukweli lazma roho ituume,ila usikate tamaa muombee pia,nimeambiwa kila mtoto na ukuaji wake na wala usianze kusikiliza ya watu kuwa umembemenda,ila nachohisi ni kuwa inafaa umpeleke kwa docta maana alitakiwa awe angalau ana tambaa kwa sasa maana kutambaa kunaanza kuanzia mwaka,pia jaribu vigari kile cha mbao japo wangu hakitak kbs.halafu utupe fidbak,mm wangu nasubiri siku itakapofika nitafurahi sana akitembea na Mungu amsaidie