Msaada: Jinsi ya kutatua tatizo la mwanangu

Barhearty

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
319
Reaction score
29
Habar mwanajf. Ninamtoto ambaye ana mwaka na miez 2. Lakini paka sahiv atambai wala asimami dede hata wazo la yeye kutembea hana. Inaniuma sana mwanangu hata nkimsimamisha anakunja miguu. Sijajua ni kawaida au atakua anamatatizo. Naombeni ushauri jamani.
 
pole sana mama mtoto,kweli matatizo kila mtu ana yake jana tu nimetoka kuomba ushauri hapa kuwa mwanangu hajaanza kusimama dede mwaka na miez miwili,wenzake wa rika hili wanatembea nw,kumbe mwenzangu una tatizo kubwa zaidi,kiukweli lazma roho ituume,ila usikate tamaa muombee pia,nimeambiwa kila mtoto na ukuaji wake na wala usianze kusikiliza ya watu kuwa umembemenda,ila nachohisi ni kuwa inafaa umpeleke kwa docta maana alitakiwa awe angalau ana tambaa kwa sasa maana kutambaa kunaanza kuanzia mwaka,pia jaribu vigari kile cha mbao japo wangu hakitak kbs.halafu utupe fidbak,mm wangu nasubiri siku itakapofika nitafurahi sana akitembea na Mungu amsaidie
 
asante sana. Ila nmejarbu vyote. Kilichobaki ni kumuomba mungu
 
Habar mwanajf. Ninamtoto ambaye ana mwaka na miez 2. Lakini paka sahiv atambai wala asimami dede hata wazo la yeye kutembea hana. Inaniuma sana mwanangu hata nkimsimamisha anakunja miguu. Sijajua ni kawaida au atakua anamatatizo. Naombeni ushauri jamani.

Pole kwa majaaliwa hayo!
Kama uko Dar , nenda Hospitali ya CCBRT Msasani unaweza kupata ushauri zaidi.
 
Kuna akina mama mnanishangaza kwa kweli.

Mtoto anafikisha miezi 7 hadi 9 hajaanza kutambaa bado unashanga shangaa nyumbani? Hayo mahospital mnayaogopea nini? Sasa huo uzazi mnadhani ni kutoa mtoto tu na kunyonyesha?

Unaumia afu bado umekaa nyumbani tu? Huyo mtoto akiwa mlemavu kwa maisha yake yote useme ni 'kazi ya Mungu'? Au mpeleke kwenye maombi?!

Kuna vitu vingine ni kupandishana hasira tu.
 
Solarpanel japokuwa kila mtoto anakuwa kwa rate yake lakini kuna time limit mtoto anaanza kutambaa na miezi 6 siyo mwaka
 
Last edited by a moderator:
Kuna akina mama mnanishangaza kwa kweli.

Mtoto anafikisha miezi 7 hadi 9 hajaanza kutambaa bado unashanga shangaa nyumbani? Hayo mahospital mnayaogopea nini? Sasa huo uzazi mnadhani ni kutoa mtoto tu na kunyonyesha?

Unaumia afu bado umekaa nyumbani tu? Huyo mtoto akiwa mlemavu kwa maisha yake yote useme ni 'kazi ya Mungu'? Au mpeleke kwenye maombi?!

Kuna vitu vingine ni kupandishana hasira tu.

Kwa kweli muda wingine ni uzembe kwenye kadi za klinic wamechora kila stage
 
Back
Top Bottom