Msaada jinsi ya kutibu Ovary Cyst

Msaada jinsi ya kutibu Ovary Cyst

shayrose

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
369
Reaction score
411
Habarini za hapa wanajukwaaa

Mimi ni mwanamke nnasumbuliwa na vijpu kwenye ovary, nmehangaika karibu miezi sita bila mafanikio
Kibaya zaidi limeota lingine upande wa kulia wakat lile lingine nahangaika kulikausha ndo kwanza linazidi

Naombeni ushauri niende wapi nmeshahangaika sana hospital na Sina mtoto hata mmoja nitakufa kwa stress
 
Pole mkuu, niliwahi kuuliza kuhusu hizo cysts wataalamu wakaniambia huwa ni mechanism ya mwili kutengeneza artificial pregnancy hasa kwa wanawake wasio na watoto
 
Uko mkoa gani? Waone Gynacologists kwa case kama yako hawashindwi

Pole sana mkuu nakutakia kila la kheri
 
Pole sana mkuu, mungu akufanyie wepesi.

Naimani kuna wataalamu humu wanaweza kukupa muongozo mzuri.
 
Walikupa matibabu gani mkuu?
Unazijua metformin (dawa za sukari) zinaweza kutumika kutibu hio shida fika hospitali
 
Nenda ukatolewe ovary hizo by surgical procedure na hapo inategemeana na aina ya cyst ms , kama ni ile inayowapata 19, -25 bhas jiandae kuondoa kizazi[emoji120][emoji120]
 
Pole mkuu, niliwahi kuuliza kuhusu hizo cysts wataalamu wakaniambia huwa ni mechanism ya mwili kutengeneza artificial pregnancy hasa kwa wanawake wasio na watoto
Vinatibiwaje Sasa maana namaliza dawa hazipungui ndo kwanza vinaongezeka
 
Mkuu pole sana.
Tufanye tunajaribu. Mcheck doct boaz mkumbo
0787999994
MUNGU akutie wepesi katika hiloo. Ka nakuona dah!
 
Uko mkoa gani? Waone Gynacologists kwa case kama yako hawashindwi

Pole sana mkuu nakutakia kila la kheri
Nipo kanda ya ziwa

Nmeshaenda hospital nyng wanadai bado ndogo eti itapotea
 
Nenda ukatolewe ovary hizo by surgical procedure na hapo inategemeana na aina ya cyst ms , kama ni ile inayowapata 19, -25 bhas jiandae kuondoa kizazi[emoji120][emoji120]
Tobaaa
 
Back
Top Bottom