Msaada jinsi ya kutibu Ovary Cyst

Msaada jinsi ya kutibu Ovary Cyst

Nenda ukatolewe ovary hizo by surgical procedure na hapo inategemeana na aina ya cyst ms , kama ni ile inayowapata 19, -25 bhas jiandae kuondoa kizazi[emoji120][emoji120]
Hii issue si yakutolewa kizaz mkuu wala overy ni issue ndogo akipata daktar anaejua maswala ya homon ila anaejua maswala ya wanawake anakuwa ok kwa gharama za kawaida kabisa. Trust me
 
Hiyo kitu hairuhusu mimba kutunga maana anakuwa na vijivimbe vimbe
Ingekuw anaweza kuzaa ningemshauri azae mapema matatizo kama haya huwa hayaishi yanarudi mara kw mara. .

Kwa kweli inahitaji maombi ya ziada. .
 
Ingekuw anaweza kuzaa ningemshauri azae mapema matatizo kama haya huwa hayaishi yanarudi mara kw mara. .

Kwa kweli inahitaji maombi ya ziada. .
Hilo tatizo huwa linapagawishaga wanawake sanaaa maana hawez shka mimba hata iweje mpaka tatizo litatuliwe
 
Mimba imegoma pia nmeambiwa shida ni hiyo
Kama ungeweza kushika mimba ningekushauri ujaribu mapema...

Nakumbuka wife alikuw na hormone imbalance aisee nilijaribu kumpa ujauzito mda mrefu sana. Nilipata daktari amana alinisaidia sana. .

Ila wazo la ziada mambo Kama haya yanaweza kuwa ya kishirikina. Kwa sababu haiwezekani wenzako wengi wanawaona madaktari wanapona wewe unazunguka kila kona. Kama ulishawah kuchanganya wanaume kawaombe msamaha. .
Nanda kanisani kwenye mambo wakati pia unaendelea na tiba. .
 
Kuna homon flan kwa mwanamke nimesahau jina lake. Ikiwa juu tuu mimba hapati. Siku zake hazioni. Na pia anaweza kutokwa na maziwa kama anamtoto vile hasa chuchu zikibinywa. Kunadawa hupatiwa kushusha hiyo homon ila ni kwa muda baada ya dawa kuisha mwilin ngoma inarud kama kawaida
 
Nipo kanda ya ziwa

Nmeshaenda hospital nyng wanadai bado ndogo eti itapotea
Najua huwa wanaangalia CM kama sijakosea kuna ambazo kwa Dawa tu zinapotea ila zipo kuna hatua hadj surgical procedures ndio zinatoka

Fika BMC au KAMANGA waone Gynacologists kama upo Mwanza lakin!!
 
Habarini za hapa wanajukwaaa

Mimi ni mwanamke nnasumbuliwa na vijpu kwenye ovary, nmehangaika karibu miezi sita bila mafanikio
Kibaya zaidi limeota lingine upande wa kulia wakat lile lingine nahangaika kulikausha ndo kwanza linazidi

Naombeni ushauri niende wapi nmeshahangaika sana hospital na Sina mtoto hata mmoja nitakufa kwa stress
Huu ugonjwa umeingia wanawake wengi wanaugua hii kitu sijui chanzo cha tatizo ni nini, huruma sana
 
Mimba imegoma pia nmeambiwa shida ni hiyo
Kuna kipindi nilikua naangalia Clouds kuna dada anasema anazo dawa zinasaidia watu Ila sikukizingatia sana nikabadiri channel, emu kesho jaribu kuangalia marudio unaweza ukamuelewa
 
Kuna kipindi nilikua naangalia Clouds kuna dada anasema anazo dawa zinasaidia watu Ila sikukizingatia sana nikabadiri channel, emu kesho jaribu kuangalia marudio unaweza ukamuelewa
Saa ngap wanaonesha
 
Back
Top Bottom