Msaada jinsi ya kutibu Ovary Cyst

Msaada jinsi ya kutibu Ovary Cyst

Mzazi mwenzangu alikua na uvimbe kwenye ovary/mayai. Alifanyiwa upasuaji hapo Regency kuna daktari mzuri wa wanawake anaitwa Dkt. Singh....

Nakushauri nenda pale...
 
Vp alipona na kupata watoto baada ya upasuaji?
 
Nimeangalia kwenye site ya Mayo clinic (Hospital ya madaktari bingwa na kubwa inayoheshimika sana US) wameeleza vizuri sana na ni issue inayotibika na wametoa some suggestions, educate yourself then tafuta Gynecologist akusaidie, nimesema educate yourself ili ujue treatment atakayokupa inaendana na ulichosoma kwa wataalam wengine, baadhi ya madaktari wetu wa bongo ni miyeyusho sana ( yaliwahi kunikuta mpaka leo nalaani yule daktari muongo)
 
Huu ugonjwa umeingia wanawake wengi wanaugua hii kitu sijui chanzo cha tatizo ni nini, huruma sana
Umeona mkuu ujue sijui kuna nini yani saivi ivi vidada vingi vya 90s wana
1 Hormone imbalance
2 PID pia
Mungu awasaidie wapenz wetu
 
Vp alipona na kupata watoto baada ya upasuaji?
Yaani wewe kinachokusumbua siyo hiyo Homa Bali ni hofu uliyonayo.. Ni lazima uponye kwanza hiyo hofu kabla hata ya hayo matibabu, unalazimisha lazima upate mimba sasa why?? Kwa nini usiwazie afya yako kwanza? Ukiondoa hiyo hofu na kulazimisha kupata mimba Hilo tatizo litapona haraka na hiyo mimba kama ni kwa heri utapata. Nina expirience kubwa Maana tumepitia hayo but lazima uponywe saikolojia yako kwanza ndipo na hormone zitakaa Sawa. Sijui ni pressure kutoka kwa mwanaume au nini???
 
Nitajitahidi kutokuwa na hofu mkuu
Asante kwa nasaha zako
 
Back
Top Bottom