Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Jamani mie nina mtizamo tofauti, pengine ni kutokuelewa sharia ntaomba msaada. Ninaamini mahakama hutoa kitu kinaitwa Divorce decree pale ambapo itadhihirika kuwa ndoa hii imekuwa na ireconciliable differences. NA hii divorce decree si ndio talaka yenyewe au? Mie shemeji yangu alimpeleka dadangu mahakamani walikuwa wameoana kanisani. Na wakakubaliana na ndoa ikavunjwa.
Ndiyo, divorce decree ndiyo talaka yenyewe. Kwani kuna mtu kakuambia siyo?