Msaada jinsi ya kuvunja ndoa kisheria


Ndiyo, divorce decree ndiyo talaka yenyewe. Kwani kuna mtu kakuambia siyo?
 
Ndiyo, divorce decree ndiyo talaka yenyewe. Kwani kuna mtu kakuambia siyo?

Kaka Mkubwa Nyani Ngabu, kuna mtu kanambia mahakamani hawatoi hiyo kitu kwa ndoa za kanisa wanachotoa ni sijui nini ya separation, nikamwuliza ndio inaitwa divorce decree akasema inaitwa hivyo but sio sa si ndo akanchanganya............. aksante kwa kunisaidia hapo.
 
Last edited by a moderator:

Mali ulimwachia mmeo?
 

Hmm...nijuavyo mimi kuna legal separation (ambayo siyo divorce/talaka) na divorce ambayo ndiyo talaka yenyewe. Divorce decree inahusiana na talaka na ndiyo uthibitisho wa kisheria kwamba talaka imeshatolewa.
 

Mkuu Viva mfano mke wangu kakimbia na vitu vyangu katokomea kusiko julikana baadae anaibuka mahakamani anataka tugawane mali wakati kuna baadhi ya vitu alikimbia navyo sheria imekaaje hapo?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Viva mfano mke wangu kakimbia na vitu vyangu katokomea kusiko julikana baadae anaibuka mahakamani anataka tugawane mali wakati kuna baadhi ya vitu alikimbia navyo sheria imekaaje hapo?

Mahakama itaangalia, ameondoka kwa mda gani, kwa ajili gani, alikuwa wapi? alivyoondoka navyo vina thamani gani na kwa uhalisi vilikuwa vya nani?(proof), kugawana mali ni hadi pale mnapoamua kuachana kisheria, taratibu zote zifuatwe, ndo anaweza omba mgawanyo wa mali na kama hiyo mali mlinunua pamoja kama wanandoa basi share yake lazima apate (hata kama ni 20%) pia Mahakama itaweza zingatia vile vitu alivyochukua (kama mlivinunua pamoja) thamani yake na kuangali kama yuko entitled kupata more or not, ila kama hizo mali ulizipata wewe mwenywe kabla ya ndoa hawezi kuzishika wala kuzipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…