Msaada: Jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani

Mita yangu iliungua na nikaenda kuripot wakaniambia watanibadilishia ila imepita mwaka na miezi miwili hadi leo kimya wao ni danadana tu
Mkoa, wilaya, eneo namba ya simu, namba ya mita na namba ya taarifa tafadhali
 
Nimenunua umeme kupitia hallotel ila sijapata token
Luku namba 24214538118
Namba ya simu 0620175937
 
Mkuu me naomba ufafanuzi katika hili.
ipo hivi jirani yangu akinunua umeme wa elfu 5. Anapewa Unit 45 kama sijasahau .
ila mimi nikinunu umeme wa elfu 5 hiyo hiyo napewa Unit 14. Tatizo itakuwa ni nini.
NAOMBA UFAFANUZI KATIKA HILI
 

TANESCO utaratibu upoje kwa mtu mwenye CIU mbovu?

Haiwaki ikiwekewa betri wala kwenye umeme
 
tafadhali wasiliana na ofisi ya TANESCO iliopo karibu na wewe au piga namba 0768985100 kwa msaada zaidi
Vipi ni code gani nitatumia kwa luku inayokataa kuunga umeme baada ya kutumia unit zote hadi ikasoma 00?
 
Ndugu mpendwa mteja haiwezekani kiweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani lakini unaweza kuweka kupitia kwa jirani kwa kwenda na CIU au remote ya nyumba yako
Inawezekana mbona
We hapo TANESCO unafanya kazi gani? Uliza wataalamu wakuelekeze
 
Kwa remote zinazoanza na 37, kwenye remote yako ingiza 59698686 kisha unaunganisha na namba yako ya meter halafu inter baada ya hapo remote yako itakua tayari kutumika kwenye hiyo meter

Yaani hivi bonyeza
59698686+namba yako ya mita+ok itaandika good, baada ya hapo weka umeme wako
 
Hapa kuna ka siri kamejificha, mtoa mada au wewe uliechangia ,nikiwa kifaa changu cha kuwekea umeme aidha kimekufa au kimepotea je ni njia ipi nitaitumia kwa kutumia kifaa cha jirani yangu niweze weka huo umeme ,Tanesco naona kama mlijibu kwa kutuhadaa ila hii tricky naona ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…