Msaada: Jirani yangu ni mbabe na msumbufu

Msaada: Jirani yangu ni mbabe na msumbufu

Ukuta ukiwa ndani ya eneo lako sio wake tena.
Kuna wajinga walijenga eneo lao lote halafu hamna barabara nikamega kiwanja changu ikawa barabara nzuri. Eti wakaanza kujenga fremu nikawaambia marufuku kujenga fremu hilo ni eneo langu mkijenga tu nazungushia ukuta. Hadi leo hakuna aliethubutu.
Bora hao walikuelewa huyu wangu chenga tupu kichwan empty kabisa unaweza mkata kofi au kushikana mashati kwa lugha chafu atumiazo anapoona amezidiwa
 
Hao wenyeviti si wana boss wao nenda kwake
Ulifanya kosa kutoa kimya kimya bila kushirikisha uongozi
 
Bora hao walikuelewa huyu wangu chenga tupu kichwan empty kabisa unaweza mkata kofi au kushikana mashati kwa lugha chafu atumiazo anapoona amezidiwa

Shida huwa inaanza kwa serikali za mitaa, vijiji sijui kata na hata wananchi kama wewe na mimi kutokuwa na ufahamu...

Kwa sababu ili mtu ajenge sheria ya ardhi inabainisha kwamba lazima awe na kibali cha ujenzi...

Serikali ya vijiji, mtaa inafika eneo la ujenzi kutambua mipaka, ikiwemo wapi njia inapaswa kupita...

Kwa maeneo ambayo hayajapimwa utaratibu wa kawaida ni kuacha mita 4 baina ya viwanja (hatua nne kama hakuna kipima umbali)...
 
shida wanataka nivunje ukuta ili barabara iwe pana wakti yeye hajatoa sehemu yoyote
Una documents zonazoonesha mauziano yenu? Kama unaxo lazima zioneshe mipaka au ukubwa wa eneo lako. Kama huna kazi unayo
 
🤣🤣🤣🤣🤣acha tu niwe swala
Unajua nitakapofanya hivyo hatokubali kuendelea kuona hivyo vimbwanga kwenye eneo lake lazima atakimbilia kwa sangoma🤣🤣🤣🤣
Hakuna sangoma siku hizi wengi ni wajanja wa mjini tu, watamtapeli na hakuna kitatokea, hapo ndio atazidi kukuogopa. 😂🤣
 
Chukua kuku usimchinje mnyonyoe manyoya yote, mvalishe shanga kisha mtupie kwake.

Baada ya siku 3 chukua paka mnyoe panki, mvalishe kitu kama hirizi mtupie kwake

Siku ya 5 chukua chura mvalishe maguo, mshonee ndani awe kama hirizi kisha tupia kwake,

Siku ya saba nunua drone, iveshe nguo nyeupe irushe juu iwe kama jini linapepea.

Utakuja kunishukuru 😂
🤣🤣🤣🤣
 
Utakuja kunishukuru [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna sangoma siku hizi wengi ni wajanja wa mjini tu, watamtapeli na hakuna kitatokea, hapo ndio atazidi kukuogopa. 😂🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 weeee wapo unanijaza upepo wew nijichanganye kwenye kumi na nane za jirani akishindwa huku ataenda kule
 
🤣🤣🤣🤣🤣 weeee wapo unanijaza upepo wew nijichanganye kwenye kumi na nane za jirani akishindwa huku ataenda kule
kama umeshindwa kuisimamia haki yako bomoa ukuta, na je ulijenga bila kibali?
 
Kama nafasi yako inaruhusu kusogeza eneo waambie wabomoe na wajenge upya ukuta kwa gharama zao.
Hauhitaji futi sita kwa sita ili kupata eneo la kuzikwa ukifa ardhi tunaacha.
Pia ukitoa njia unapata baraka ya mpita njia zinakuja kwako na mambo yako hayawezi kwama.
Umewahi ona maisha ya wanaogombea ardhi yanavyokuwa.?

Kama eneo haliruhusu komaa nao tu kisheria
 
Huo mkasa wako nikama wangu japo misijajenga ukuta yaani mwamba nimusumbufu hadi nishafikilia kutoa hera nimroge.
 
Back
Top Bottom