Msaada: Jirani yangu ni mbabe na msumbufu

Subiri Mh atakujaa kutatua
 
Mara nyingi shida inakupatq kama wewe ndio wa mwisho kujenga. Wao wanajenga hadi mwisho wa viwanja vyao halafu kiwanja chako kinakuwa njia. Siku unakuja kuanza ujenzi ukifunga njia(eneo lako) unakuwa adui wa jamii.
 
Kama sio muhaya, mchaga au mjita sijui tu

Utakuwa unamzidi uwezo au mnalingana ndo kunakuwaga na hizi nongwa, hao wenyeviti ndo wanauchochea, ungana na wanaotumia hiyo barabara ili mtatue mgogoro huo
I miss you sweetheart
 
Kazi ya watendaji kata na wenyeviti wa mtaa
 
Hana haja ya kuingia gharama zote hizo.

Cha kufanya anunue kilo 1 ya unga wa mahindi, na kitambaa chekundu. Huo unga aumwage kuzunguka hilo eneo linalogombewa, na kwenye kila kona asimike mti wenye kitambaa chekundu kinapepea. Halafu aendelee na shughuli zake.

Kamwe hakuna mtu ataruka hapo πŸ˜„
 
Mara nyingi shida inakupatq kama wewe ndio wa mwisho kujenga. Wao wanajenga hadi mwisho wa viwanja vyao halafu kiwanja chako kinakuwa njia. Siku unakuja kuanza ujenzi ukifunga njia(eneo lako) unakuwa adui wa jamii.

Mitaa ya Manzese kuna bibi kufika kwake alikuwa ameweka ngazi inayompitisha juu ya paa la jirani kwa sababu alikuwa kazingirwa pasipokuachiwa njia...
 
Aliekuuzia si yupo? hata kama apajapimwa ila lazima zipo mita za kiwanja kwa upana na urefu ,chukua izo karatasi pimeni urefu na upana na wenye viti wakiwemo ili kudhiilisha kiwanja chako kinapoishia , na wapi umeanzia jengea kuta simple
 
Amalizie na kununua subwoofer kubwa ya bluetooth aelekeze upande wa dirisha la jamaa usiku kucha aweke milio ya bundi na paka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…