makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Dada yangu πKaka ππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada yangu πKaka ππππ
Unamuwahi uswahilini tuu au uwe mlokole umuachie Mungu amalize kesi mwenyeweMtu anayekuwahi kwa mbele kwenye sheria hii huwa balaa sana, na mwisho wake huwa mgumu sana.
Noma sana mkuuUnamuwahi uswahilini tuu au uwe mlokole umuachie Mungu amalize kesi mwenyewe
Usijali kabisa,maombi kwako yana nafasi tayari.uniweke kwenye maombi yako
ila ninawaza kuja kuazima ule mguu wa kuku si kwa vimbwanga hivi
π€£ Omba msaada mwingine nje ya hilo maana sitaki uingie matatizoni.π€£π€£π€£π€£π€£kwa sasa sina jibu
Ila yatakuja wakati nimeushikiliaπ€£π€£π€£
Mkuda sana wee jamaa......hahahaChukua kuku usimchinje mnyonyoe manyoya yote, mvalishe shanga kisha mtupie kwake.
Baada ya siku 3 chukua paka mnyoe panki, mvalishe kitu kama hirizi mtupie kwake
Siku ya 5 chukua chura mvalishe maguo, mshonee ndani awe kama hirizi kisha tupia kwake,
Siku ya saba nunua drone, iveshe nguo nyeupe irushe juu iwe kama jini linapepea.
Utakuja kunishukuru π
kuna mmoja alikua akimsumbua mama yangu. siku nilimfuata wakati bado naishi ukimani ( bara la giza). nilimuambia mimi nina roho mbaya we msenge nitaku**wewe na mke wako endelea kumsumbua huyu bi mkubwa. toka hapo akajua kumbe huyu mama ana mtoto kichaa.Ni mchaga a.k.a wapalestina
Nmecheka hapo kwenye drone et iwe kama jiniChukua kuku usimchinje mnyonyoe manyoya yote, mvalishe shanga kisha mtupie kwake.
Baada ya siku 3 chukua paka mnyoe panki, mvalishe kitu kama hirizi mtupie kwake
Siku ya 5 chukua chura mvalishe maguo, mshonee ndani awe kama hirizi kisha tupia kwake,
Siku ya saba nunua drone, iveshe nguo nyeupe irushe juu iwe kama jini linapepea.
Utakuja kunishukuru [emoji23]
Safi sana atumie hii ππUsicheke na waswahili watakupanda kichwani.
Nipe tenda hiyo nimuwekee ngozi za chui uwani halafu namletea kipira, huyo mtaonana baada ya miaka 30 kama atatoka jela salama
Ushauri wa hananja huuuChukua kuku usimchinje mnyonyoe manyoya yote, mvalishe shanga kisha mtupie kwake.