Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Pole mkuu mimi49 karibu jukwaani kwa mtoto.
Pole Mpwa wangu, hizo dawa sometimes zinakua kali sana, mpe maji mengi na jaribu kumsonji Mamaa Julieth atapona......Yasiyowezekana kwa wanadamu Kwa MUNGU yote yanawezekana....
Ana homa mtoto,malaria inaambatana na homa,ni hatari kwa mtoto mdogo kuwa na homa kali anaweza apate degedege!Unaweza kumpa paracet 7,5ml up to 3 times per day...mpunguze nguo pia ili temperature ishuke na muwekee kitambaa cha maji baridi kwenye paji la kichwa...Kuwa mvumilivu atapona tu dawa haifanyi kazi hapo kwa papo!
Mpeleke hospital atapona usiogope
Amodiakwin ni dawa kali sana, hakikisha anakula chakula cha kuosha, maji mengi na juisi kwa wingi. Usisahau maziwa pia.
Kuhusu joto, akichemka mpe panadol ya watoto, afu mpunguzie nguo. Kama ikitokea ukataka kum-sponge, usifanye hivyo kwa maji baridi saana, yawe baridi kiasi kisicho cha kumshtua. Pia huwa kuna dawa za kushusha joto, ila zinachomekwa maeneo yale, nazo ni vere efektive.
Joto likizidi mpeleke hospital, homa kali kwa muda mrefu yaweza sababisha degedege kwa mtoto.
Pole kwa kuuguza.
Kama anaweweseka hiyo ni severe malaria na ni bora aanzishiwe quinine. Hiyo amodiaquine ni ya wapi,, kuna nchi ina viwanda vingi vya kutengeneza dawa hadi uwani mwa nyumba
Mpwa it was just typing error I meant Kum-sponge, how is she today?mkuu asante sana, dah na vile hakuwahi ugua malaria aagh ilikuwa tabu sana. Yes maji kwa wingi na fresh juice, hope she will resume back to normal in few hours. Asante GBU, sorry kumsonji mama J ni kufanyeje?
Sent from my iPad using JamiiForums
Pole sanaa ngoja wajuzi wakujuzee
asante sana Kongosho, ushauri makini kabisa hakika ninapata uzoefu mkubwa hasa incase anapatikana mdogo wake!
Hizo dawa za kushusha joto zinaitwaje? zinachomekwa wapi vilee? nisije nikadefine "yale" kwa makosa
hivi hii theory huwa ni kweli " mtu akiwa anatapika ni mwili unapigana na wadudu so usimpe dawa ya kuzuia kutapika"
"mtu akiwa na high body temp kama my daughter jana usimpooze kwa vile kuwa na joto ni mwili unafait na wadudu"
Yani jana nikajitahidi kukumbuka vyote lkn nikaishia kuwa dillema, please kama kuna madokta humu naomba mnisaidie hizi theories kama zina ukweli
Sent from my iPad using JamiiForums