Msaada Juliet wangu anaumwa sana usiku huu

Msaada Juliet wangu anaumwa sana usiku huu

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,384
Toka jana mtoto wangu wa miaka 2 na nusu ameonesha dalili ya malaria na kupima ikaonekana ana malaria 3. Huwa hata sijui hii namba ina maanisha nini..anyway!

Tatizo ni kuwa majira ya saa8 hii amechemka sana anatoa jasho na analia kwa vipindi vipindi. Jana alianza doze ya malaria (amodiaquine) lakini ni kama haijaamza kufanya kazi vizuri.

Hii hali ya kuchemka ndio inantisha, je kumpa panadol ni sawa ama kuwasha feni/kumuogesha maji baridi?

Toka azaliwe hajawahi ugua malaria so its my first experience!
 
Pole sana ndugu mungu yuko pamoja nasi cha muhmu mkazanie anywe dawa pia jitahidin apate chakula kisha anywe maji salama
 
Pole Julieth, kama una kipima joto angalia joto lake. Chini ya 38 msiponge tu kwa maji, maana wataalamu wanatuambia ukinywa dawa reaction ya dawa na wadudu husababisha joto kupanda na hapo ndio favourable condition ya dawa kufanya kazi. Ukinywa panadol unashusha temprature na hivyo kuslow down kazi ya kufight pathogens.
Lakini kama kuna maumivu na joto liko juu zaidi panadol ni muhimu hata kama inaslow upambanaji.
 
Ana homa mtoto,malaria inaambatana na homa,ni hatari kwa mtoto mdogo kuwa na homa kali anaweza apate degedege!Unaweza kumpa paracet 7,5ml up to 3 times per day...mpunguze nguo pia ili temperature ishuke na muwekee kitambaa cha maji baridi kwenye paji la kichwa...Kuwa mvumilivu atapona tu dawa haifanyi kazi hapo kwa papo!
 
Pole Mpwa wangu, hizo dawa sometimes zinakua kali sana, mpe maji mengi na jaribu kumsponji Mamaa Julieth atapona......Yasiyowezekana kwa wanadamu Kwa MUNGU yote yanawezekana....
 
Pole mkuu mimi49 karibu jukwaani kwa mtoto.

sante sana DZUDZUKU yani hawa first born bana balaa sana no experience unaweza changanyikiwa ukizingatia ilikuwa sa7:30 usk ndio homa ikaleta mushkeli na usingizi ukakata 100% till morning. I thank God tumepata matibabu ya sindano kwa sababu ya ile joto kuwa above 38 ikabidi tu apewe syringe moja na anaendelea kuimprove

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Pole Mpwa wangu, hizo dawa sometimes zinakua kali sana, mpe maji mengi na jaribu kumsonji Mamaa Julieth atapona......Yasiyowezekana kwa wanadamu Kwa MUNGU yote yanawezekana....

mkuu asante sana, dah na vile hakuwahi ugua malaria aagh ilikuwa tabu sana. Yes maji kwa wingi na fresh juice, hope she will resume back to normal in few hours. Asante GBU, sorry kumsonji mama J ni kufanyeje?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Ana homa mtoto,malaria inaambatana na homa,ni hatari kwa mtoto mdogo kuwa na homa kali anaweza apate degedege!Unaweza kumpa paracet 7,5ml up to 3 times per day...mpunguze nguo pia ili temperature ishuke na muwekee kitambaa cha maji baridi kwenye paji la kichwa...Kuwa mvumilivu atapona tu dawa haifanyi kazi hapo kwa papo!

asante sana mimi49, dah we acha tu mtoto anatoka jasho balaa na anasema anahisi baridi! Badly enough juzi night alionekana kama anaweweseka haikuwa issue sana kumbe huenda alipata na celebral malaria, saivi attention yote iko kwake she is getting better. Asante sana my friend

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mpeleke hospital atapona usiogope

kuogopa ni vile sikuwa najua what to do na what is happening..nlikuwa na sababu ya kuogopa ukizingatia ni night kali. Tatizo hata mimi sina experience ya kuumwa malaria nakumbuka its once in 2002 mpk leo so sikuwa na clues za uhakika na hii kitu. Asante sana

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Amodiakwin ni dawa kali sana, hakikisha anakula chakula cha kuosha, maji mengi na juisi kwa wingi. Usisahau maziwa pia.

Kuhusu joto, akichemka mpe panadol ya watoto, afu mpunguzie nguo. Kama ikitokea ukataka kum-sponge, usifanye hivyo kwa maji baridi saana, yawe baridi kiasi kisicho cha kumshtua. Pia huwa kuna dawa za kushusha joto, ila zinachomekwa maeneo yale, nazo ni vere efektive.

Joto likizidi mpeleke hospital, homa kali kwa muda mrefu yaweza sababisha degedege kwa mtoto.

Pole kwa kuuguza.
 
asante sana Kongosho, ushauri makini kabisa hakika ninapata uzoefu mkubwa hasa incase anapatikana mdogo wake😀😀!

Hizo dawa za kushusha joto zinaitwaje? zinachomekwa wapi vilee? nisije nikadefine "yale" kwa makosa

hivi hii theory huwa ni kweli " mtu akiwa anatapika ni mwili unapigana na wadudu so usimpe dawa ya kuzuia kutapika"
"mtu akiwa na high body temp kama my daughter jana usimpooze kwa vile kuwa na joto ni mwili unafait na wadudu"

Yani jana nikajitahidi kukumbuka vyote lkn nikaishia kuwa dillema, please kama kuna madokta humu naomba mnisaidie hizi theories kama zina ukweli

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kama anaweweseka hiyo ni severe malaria na ni bora aanzishiwe quinine. Hiyo amodiaquine ni ya wapi,, kuna nchi ina viwanda vingi vya kutengeneza dawa hadi uwani mwa nyumba
 
Kama anaweweseka hiyo ni severe malaria na ni bora aanzishiwe quinine. Hiyo amodiaquine ni ya wapi,, kuna nchi ina viwanda vingi vya kutengeneza dawa hadi uwani mwa nyumba

sawa mkuu, ushauri wako ninauchukua na tumeshamwambia doc kuhusu hilo ila kashauri tumalize kwanza hiyo dozi na baada ya wiki 2 ndipo tukapime tena. Hizo amodiaquine sina hakika ni made in where ila ni za bei kiasi ukilinganisha na nyingine za jina hilo hilo

Sent from my iPad using JamiiForums
 
mkuu asante sana, dah na vile hakuwahi ugua malaria aagh ilikuwa tabu sana. Yes maji kwa wingi na fresh juice, hope she will resume back to normal in few hours. Asante GBU, sorry kumsonji mama J ni kufanyeje?

Sent from my iPad using JamiiForums
Mpwa it was just typing error I meant Kum-sponge, how is she today?
 
Ujue mie sio daktari, ila natumia tu uzoefu wa kulea.

Kumuacha tu mtoto na joto kali, hata kama mwili unapigana na wadudu inataegemea, kama nilivyosema, nachojua joto kali sana kwa mtoto kwa muda mrefu huwa inasababisha degedege.
Sasa kusema kumwacha tu bila kumsaidia kushusha joto hilo siwezi lisemea.

Kadhalika kutapika kwa muda mrefu huweka maisha ya mtoto hatarini. Mtoto akiishiwa maji ni hatari sana, kwa hiyo lazima suala la kutapika lishughulikiwe haraka. Hata kama hautampa dawa za kuzuia kutapika, walau mpe maji 'oral' kwa ajili ya kurudisha madini yalopotea.

Kama ni usiku na huwa oral, chukua maji safi ya kunywa, weka sukari kiasi na chumvi kiasi, mpe mtoto, husaidia kurudisha nguvu.

asante sana Kongosho, ushauri makini kabisa hakika ninapata uzoefu mkubwa hasa incase anapatikana mdogo wake!

Back
Top Bottom