Msaada Juliet wangu anaumwa sana usiku huu

Usirudie tena kumpa mtoto amodiaquine, hizo dawa zina nguvu sana
Mpe pole Julieth, hope anaendelea vizuri

Usirudie tena kumpa mtoto amodiaquine, hizo dawa zina nguvu sana
Mpe pole Julieth, hope anaendelea vizuri

Hadi nimeshtuka! So dawa gani ni powa?
 
Dawa za maralia zipo nyingi sana, ikibidi hata sindano lakini amodiaquine! sishauri kabisa, hizo dawa ni kali sana, mtu mzima zinampelekesha sembuse mtoto, huwa sihitaji hata kuziona, na ni vizuri kama utampelekea kwa daktari wa watoto atakushauri dawa gani nzuri kwa mtoto wa umri huo

Hadi nimeshtuka! So dawa gani ni powa?
 
Usirudie tena kumpa mtoto amodiaquine, hizo dawa zina nguvu sana
Mpe pole Julieth, hope anaendelea vizuri

Amodiaquine kwa mtoto si sahihi ila kwa wakubwa inawaperekesha sana wenye ngoma.
 
chukua chai ya rangi...na weka ndimu ndani yake itashuka tu temperature...muwekee sukari kidogo...
 
Dawa ya kumkinga asipate malaria mara kwa mara...chukua kokwa za papai zikaushe, zitwange ziwe unga...halafu utakua unakoroga kwenye uji unampa...haina tabu ukiweka sukari...
 
Reactions: ram
Dawa ya kumkinga asipate malaria mara kwa mara...chukua kokwa za papai zikaushe, zitwange ziwe unga...halafu utakua unakoroga kwenye uji unampa...haina tabu ukiweka sukari...

Asante sana mkuu, sasa kipimo labda
 
Mpe Maji Na Juis Halis Mara Kwa Mara Kwan Husaidia Kushusha Joto Na Usitumie Feni Wala Kumkosha Maji Baridi Kwa Hofu Ya Pneumonia
 
Mpe Maji Na Juis Halis Anywe Mara Kwa Mara Kwan Husaidia Kushusha Joto Na Usitumie Feni Wala Kumkosha Maji Baridi Kwa Hofu Ya Pneumonia
 
Mpe Maji Na Juis Halis Anywe Mara Kwa Mara Kwan Husaidia Kushusha Joto Na Usitumie Feni Wala Kumkosha Maji Baridi Kwa Hofu Ya Pneumonia

Asante sana sana mkuu, ushauri huu unasaidia wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…