ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Usirudie tena kumpa mtoto amodiaquine, hizo dawa zina nguvu sana
Mpe pole Julieth, hope anaendelea vizuri
Mpe pole Julieth, hope anaendelea vizuri
Toka jana mtoto wangu wa miaka 2 na nusu ameonesha dalili ya malaria na kupima ikaonekana ana malaria 3. Huwa hata sijui hii namba ina maanisha nini..anyway!
Tatizo ni kuwa majira ya saa8 hii amechemka sana anatoa jasho na analia kwa vipindi vipindi. Jana alianza doze ya malaria (amodiaquine) lakini ni kama haijaamza kufanya kazi vizuri.
Hii hali ya kuchemka ndio inantisha, je kumpa panadol ni sawa ama kuwasha feni/kumuogesha maji baridi?
Toka azaliwe hajawahi ugua malaria so its my first experience!